Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mkuu swalaama?Huyu baba mvumilivu sana, anyway, tufanye hayo na tutakuwa salama, bila kusahau mazoezi, hakuna Corona atatia mguu nchini Tanzania. Chanjo tunawaachia manyani na mapanya ya majaribio.