Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .

Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania kivulini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
mama yako mzazi uNaye mtumia nimekujua IP ukibisha tubishane IP
 
BIMA YA AFYA IMEFILISIWA NA VIONGOZI WA CCM ,TUNATAKA WAKAMATWE WALIOFILISI HUO MFUKO
 
Neno la ID unalotumia unajua na rafiki yenu mlipenda ilo kundi na wewe ukajifananisha
R-12482523-1536166254-5777.jpg
 
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .

Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania kivulini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nonsense. Subiri 9D ndo hao watu unawaita viongozi wako kama utawaona tena
 
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .

Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania kivulini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mshauri akamilishe kwanza jambo lao maalumu lililopelekea kuangukia hapo afya,na uache porojo hapa!
 
Akili zako kama za Chinjachinja, inawezekana wewe ni mwanafamilia. Stupidity is hereditary.
 
Amerika yenyewe haijajitegemea, sembuwe Tanzania. Yaani nchi haina uwezo wa kutengeneza bunduki alafu ijitegemee.
 
Bina ya afya kwa kila mtz ya KAZI Gani , wakati wa TZ wanazaliana kama panya .

Na Kati ya hao ni 3% TU 😂 wanaolipa Kodi serikalini .

Inaelekea wa TZ walio wengi Bado hawajajua wanahitaji nini
 
Kelele zote za humu zinazotoka kwenye mkungu wako nikajua bima unayo 😂

Bc tuliza mkungu huo usiutumie kuongelea mana utauchosha.
 
HONGERA SANA WAZIRI KWA MILESTONE HII MUHIMU
 
Back
Top Bottom