Nonsense. Subiri 9D ndo hao watu unawaita viongozi wako kama utawaona tenaBima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .
Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania kivulini.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mshauri akamilishe kwanza jambo lao maalumu lililopelekea kuangukia hapo afya,na uache porojo hapa!Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.

Yes.Mimi ni mtanzania. Wewe jifanye kusifia hao wauaji. Na wewe ipo siku tutakutembelea tu. Teknolojia ni kubwa sanawewe ni mtanzania?