Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

Wote WAONDOLEWE yaani Waziri wa Afya na Naibu wake kwa sababu hawawezi kuhamasisha na kusimamia chanjo waliyokuwa "WANAIKEJELI"

WOTE "OUT"
Si ndio baraza jipya hilo!?
 
Hii picha imenichekesha sana. Pia kunisikitisha! Hakuna viongozi hapo bali wasaka tonge tu. Ndiyo maana sijawahi kusikia kiongozi amejiuzulu zaidi ya Mwinyi alipoweka hostoria akiwa waziri wa mambo ya ndani.
Na picha za hawa watu km mbili nimeziweka ili yawe makumbusho kwa wajukuu wangu ...kua Tanzania ilipwata na viongozi km hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
... uko sahihi! Korona ni janga ila kupitia janga hilo Mungu ameinusuru sana nchi hii maana ilikuwa inaelekea kwenye majanga mabaya zaidi! Kwa kuwa yale majanga zaidi tumenusurika, tahadhari zichukuliwe ipasavyo.
Kama Mungu alitunusuru sasa hivi mnamfanyia mzaha atatulipua. Wakati wa kuvaa barakoa mlipiga marufuku na tukavuka salama sasa hivi mnaforce kitu ambacho hakipo ili kiwe
 
Hadi muda huu, Waziri wa Afya na naibu wake walipaswa kuwa wamejiuzuru.
Walimpotosha Magufuli na kuwapotosha watanzania kwa kupuuzia sayansi ya kupambana na Corona.

Corona imeua viongozi wetu na wananchi wetu kwa sababu ya maamuzi ya hao viumbe.
Walimpotosha kivipi; Kwani Watanzania wamekufa wangapi kwa ugonjwa wa corona?sio kila ugonjwa unaoua wazungu na sisi africa lazima tufe, corona imekuwa tatizo kwasababu imetokea kwao, lakini ingeanzia africa wangekuwa wanashangilia kama wakati wa ebora, lakini kwasababu viongozi wa africa wengi ni akili tegemezi nao wanafuata mkumbo.Kama corona ingelikuwa na nguvu hivi wanavyoikuza Tanzania akuna mtu angelipona, maana maisha tuliyokuwa tukiishi tokea corona ianze kutangazwa Mungu ndiye anayejua.Sasahivi Mambo yametulia mpaka Kenya waliokuwa wakishadadia huu ugonjwa wameamua kuachana nao,wameona bora maisha yaendeleree,sisi uku ndio tunatangaza matokea ya tume eti nchi itangaze kuwa tuna corona,kisa wapate misaada na mikopo yenye unafuu.Hili ndilo tatizo la kuongozwa na Rais asiyekuwa na maono,kila kitu anategemea kusaidiwa tu.
 
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na....

Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na....

Kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo.

Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka.

Kuhamasisha watu kuvaa barakoa wakaki wao hawazivai au walizipuuza.

Kuondoa imani kwa wananchi ya kujifukiza ili wapate chanjo.

Kurudisha imani kwa wananchi kuwa chanjo hazina madhara tena kwa sababu Tanzania haina chanjo yake chanjo zote ni za mabeberu.

View attachment 1788659
Hawa waondolewe walijazwa UJINGA NA JPM
 
Hawakuwamo kuliponya chanjo hao. Ilikuwa njaa za matumbo yao tu.

Hata yule bwana naye ilikuwa hivyo hivyo. Jitihada za kuyakimbia majukumu tu.

Huyo ndiye aliyeonekana kalala juu ya jiwe kama mjusi.
 
Kama Mungu alitunusuru sasa hivi mnamfanyia mzaha atatulipua. Wakati wa kuvaa barakoa mlipiga marufuku na tukavuka salama sasa hivi mnaforce kitu ambacho hakipo ili kiwe
Maaigizo huumba uhalisia, eti kutekeleza maazimio ya kimataifa, kupata kibali cha kupata misaada na sifa za utii kwa haki za binadamu. M

Mbona tume ya haki za binadamu Tanzania imesema utawala bora na haki za binadamu zilitamalaki na kusheshiwa kwa vitendo kwenye utawala wa JPM? Hapo wanamaanisha nini?

Kuna ajenda ya siri hapo
 
Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
Kinuju Umevurugwa mbaya unaropoka ovyo kama umekunywa maji ya chooni
 
Unajua chochote kitaalamu kuhusu masuala ya afya?
Acha kunirukia kama utambulisho wako, anayetakiwa kujua utalaamu wa afya ana sura pembuzi ya kumbaini yukoje?

Usiniletee uanaharakati na siasa uchwara; I am not of your rogue calibre
 
Hivi hii kamati imerecommend Chanjo ipi kati ya zile 3-4 au na wao wameinia kwenye mtego wa kutaka chanjo yoyote ile, as long as tunapewa bure na COVAX?

Ile report ya professors haina lolote la maana ambalo hatukulijua kabla. Hakukuwa na haja ya kuunda Tume ili watulee report kama ile.
 
Hii picha imenichekesha sana. Pia kunisikitisha! Hakuna viongozi hapo bali wasaka tonge tu. Ndiyo maana sijawahi kusikia kiongozi amejiuzulu zaidi ya Mwinyi alipoweka hostoria akiwa waziri wa mambo ya ndani.
Sijui kina Ummy Mwalimu na genge lake wanajisikiaje? Alipokuwa anapinga ushauri wa Madakitali wakati yeye hajawahi hata kuwa mkunga wa jadi.

20210518_105351.jpg
 
Back
Top Bottom