Huu ni udhaifu, hata kama angekuwa mmoja, hiyo ni hospitali ya rufaa haiwrzekani wafanye uzembe kama huo. Uzembe unaweza kuwa wa daktari au uongozi kwa kushindwa kuweka madaktari wa kuweza kusimamia changamoto za wagonjwa kama zinavyojitokeza.Daktari yupo mmoja walikuwa kama 6 hapo wanataka huduma tena za dharula na hatujui kafanya kazi muda gan au hakupata mapumziko kabisa hilo limekaaje? Tuangalie pande zote mbili ieleweke sitetei uovu
Ina maana hujui taratibu za kazi hizo; au unatafuta kisingizio tu cha uzembe wa hali ya hatari kabisa. Watu wanapoteza maisha bado unatafuta visababu vya uongo na kweli?Daktari yupo mmoja walikuwa kama 6 hapo wanataka huduma tena za dharula na hatujui kafanya kazi muda gan au hakupata mapumziko kabisa hilo limekaaje? Tuangalie pande zote mbili ieleweke sitetei uovu
Kwamba watu wote 6 alitakiwa awalaze kitanda kimoja? Hii nchi ina msomi huyo mmoja?Ina maana hujui taratibu za kazi hizo; au unatafuta kisingizio tu cha uzembe wa hali ya hatari kabisa. Watu wanapoteza maisha bado unatafuta visababu vya uongo na kweli?
Ndiyo maana nasema waziri asikurupuke, afanye ki utafiti kwa mfumo mzima ili atatue changamoto, inauma sana tena sanaNaomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala.
Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa pikipiki ambaye alikuwa amegongwa na gari kumuwahisha hosptali kwa ajili ya Matibabu, aligongewa mitaa ya Sinza , so awali tulifika hosptali ya Palestina then palestina kwaissue ya mgonjwa ilivyo walituambia twende hosptitali ya Mwananyamala...
Ndio uzembe wa pande zote mbili hapo uongozi n serikali watu wanapoteza maisha kwa sababu pengine baadhi ya mambo yanachukuliwa simple nafikir afya na elimu ni sehem nyeti kuwekezaHuu ni udhaifu, hata kama angekuwa mmoja, hiyo ni hospitali ya rufaa haiwrzekani wafanye uzembe kama huo. Uzembe unaweza kuwa wa daktari au uongozi kwa kushindwa kuweka madaktari wa kuweza kusimamia changamoto za wagonjwa kama zinavyojitokeza.
Ukimsikiliza waziri wao anaongea utagundua kinachofanyika hospital za serikali hakifikii hata 30% ya kile wanapaswa kufanya
Mantiki yangu kubwa ni Kiapo cha Utabibu cha Hippocrates kinasema "Do no harm" daktari yupo hapo kabla hajawa daktari tukumbuke pia ni binadamu so mlishawahi kujua matatizo wanayoyapata madaktari hasa nyakati za usiku au ni namna gani daktari wa kitanzania anakuwa motivated kulingana na uzito wa kazi wazifanyazo ! Ukiyajua hayo basi hutopata shida karibuni nchi za watu mjifunze namna mambo yanavyoendeshwa kwa uweledi.Lakin alikuwa zamu haiwezekani akachlewa bila kutoa maelezo na huyo alikuwa nae wapi
Mantiki yangu kubwa ni Kiapo cha Utabibu cha Hippocrates kinasema "Do no harm" daktari yupo hapo kabla hajawa daktari tukumbuke pia ni binadamu so mlishawahi kujua matatizo wanayoyapata madaktari hasa nyakati za usiku au ni namna gani daktari wa kitanzania anakuwa motivated kulingana na uzito wa kazi wazifanyazo ! Ukiyajua hayo basi hutopata shida karibuni nchi za watu mjifunze namna mambo yanavyoendeshwa kwa uweledi...Kwamba daktari ni mmoja tu asipokuwepo basi mambo hayaendi? Sasa kama hospital kubwa kama hiyo kuna mambo hayo, can you imagine hospital nyingine za serikali zikoje? USIOMBE
Mkuu kwa hili suala mpaka hapa uzembe wa srikali haujadhihirika. Ila uzembe wa daktari. Kuna vyumba viwili vya madaktari na pia kuna emergence wote hawakuwepo. Unaweza kuta wanapigana miti tu na manesi au stori.Ndio uzembe wa pande zote mbili hapo uongozi n serikali watu wanapoteza maisha kwa sababu pengine baadhi ya mambo yanachukuliwa simple nafikir afya na elimu ni sehem nyeti kuwekeza
Hapa nimekupata vizur mkuu inaweza kuwa pointMkuu kwa hili suala mpaka hapa uzembe wa srikali haujadhihirika. Ila uzembe wa daktari. Kuna vyumba viwili vya madaktari na pia kuna emergence wote hawakuwepo. Unaweza kuta wanapigana miti tu na manesi au stori.
Uongozi wa hospitali hizi una jambo la kufanya kwani uzembe huu unawagusa wao pia.
Viongozi wengi wanakurupuka tu kutoa maamuzi yaani hawatafuti root cause ya jambo...mara nyingi wanafanya ile inaitwa MSHIKWA NA MFUPA ndo anayewajibishwa. Je, mla nyama??Ndiyo maana nasema waziri asikurupuke, afanye ki utafiti kwa mfumo mzima ili atatue changamoto, inauma sana tena sana
Hapana.Kwamba watu wote 6 alitakiwa awalaze kitanda kimoja? Hii nchi ina msomi huyo mmoja?
Daktari pia ni binadamu je mlifuatilia nini kilichokuwa nyuma ya tukio hadi kumfanya asiwepo hapi ? Tafakari hayo!
haya mkuu nimekupataHapana.
Kwamba alipotakiwa kuwahudumia watu hao kwa nyakati mbalimbali usiku huo, hakuwepo kutoa huduma hiyo kwa wakati mwafaka.
Huyo anatakiwa ajibu uhalifu huo aliofanya kwa usiku huo.
Eeenh, mkuu 'macho', watageuziwa kibao na kuambiwa "wameandamana", na unajua nchi hii tusivyopenda maandamano ya aina yoyote!Nchi yetu elimu ni tatizo kubwa. Sasa wewe unataka kuhalalisha huo uzembe kwa kuwa huko wilayani kwenu ni wazembe zaidi? Anyways mleta mada tatizo ni sisi wenyewe watanzania. Tunapenda kulalamika kwa maneno bila kuchukuwa hatua. Kwa mfano ingekuwa nchi nyingine huo uzembe uliokutana nao kesho yake ungeondoka na watu. Ilitakiwa mchukuwe hatua hata kukubaliana kesho yake muende kwenye ofisi za eg mkuu wa wilaya mkiwa na vyombo vya habari.
Hawa watumishi unaweza kuwatetea kwa nguvu kwa sababu hayajakukuta,Ila yakikukuta ndo utajua anachofanya JPM Ni sahihi kabisa kuwashughulikia.Naomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala.
Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa pikipiki ambaye alikuwa amegongwa na gari kumuwahisha hosptali kwa ajili ya Matibabu, aligongewa mitaa ya Sinza , so awali tulifika hosptali ya Palestina then palestina kwaissue ya mgonjwa ilivyo walituambia twende hosptitali ya Mwananyamala...