Sasa tuliokuwa tumejipanga kuokota huko zanzibar itakuwaje???π πWata tumiwa tu kama tiGO Pesa π
hujamuelewapole dada
Dawa za Madagascar nani aliona mafanikio yake mbona Chopa ya Rais ilitumwa kwenda kuzifuata zilithibitishwa wapi, huuulizi zilienda wapi na umeshawahi kuuliza nani alizibugia. Vita ya Corona ni ngumu sana shida ipo kwenye approach ya wenye dhamana, hutaki lockdown fine lakini kwa nini uhamasishe watu wasivae barakoa. Akili kichwani mwako kijana wewe Corona hautakuumiza ila mkumbuke mzazi wako bado ana hamu ya kuishiUnajua kabla nilikua very against mh. Rais ila katika swala la Corona Niko nae bega kwa bega... Na hichi ulichoelezea ndio logic yake ambayo natamani wapinzani wenzangu waelewe waache ushabiki, hatuwezi iga Kila kitu especially vitu ambavyo hatujaona mafanikio yake.
mkuu watu wanaoikomba kwa MEKO mimi huwa nawaona ni MAPUNGA tuBrazaj kaongelea kumsanifu mzee sio kwamba anaunga mkono jinsi alivyoandika ni kama jokes fulani lakini kijembe kwa bwana mkubwa.
nilichomuelewa nimeona ni kuikombakomba kwa MEKO tu... vinginevyo iwe kunyumechakehujamuelewa
ππππ pengine wakaja kwa bot bahati haipoteiSasa tuliokuwa tumejipanga kuokota huko zanzibar itakuwaje???π π
Mfuatilie kwenye post zake uone kama huyo ni MATAGAnilichomuelewa nimeona ni kuikombakomba kwa MEKO tu... vinginevyo iwe kunyumechake
Ni mkweli kabisa hakuna anoambiwa kuwa anayo Kuna kesi nyingi sana nchi mbali mbali watu wanaonekana wanayo wakati wana vyeti negative kutoka Tanzania. Huu umekuwa mtaji mkubwa wakupata hizo dola.
Kwa hiyo wewe unaona raha kuishi na ugonjwa, basi hapo unajiona wewe ndiyo Tupac Shakur na umejibu kishujaa kwelikweli. Mweh mataahira Nchi hii sijui yataisha lini πWasichokijua corona ipo bongo na tunaishi nayo.
Nakosa cha kukujib ni km umekurupuka usingizini ama hujaelewa, haya ahsanteKwa hiyo wewe unaona raha kuishi na ugonjwa, basi hapo unajiona wewe ndiyo Tupac Shakur na umejibu kishujaa kwelikweli. Mweh mataahira Nchi hii sijui yataisha lini [emoji849]
Nimeshaandika sifutiNakosa cha kukujib ni km umekurupuka usingizini ama hujaelewa, haya ahsante
Jaribu tena kusoma hako kasentesi kafupi, km huelewi iache tu, si lazima ujibu jibu.
Ndugu watanzaniaView attachment 1703573
View attachment 1703577
Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona.
Zamani tuliongoza kwa mema lakini Sasa tunaongoza kwa mabaya.Hatimaye kwa mara ya kwanza Tanzania yashika uongozi wa jambo duniani
Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.
Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.
Watakuwa wanatuonea wivu tu kwa kuwa tuko uchumi wa kati.
Au nasema uongo ndugu zangu?
We kapigwe chanjo tu uendelee na maisha yako.....tusipangianeHapana B
Jamani wa Tanzania tumemkosea nini Mungu?? hivi wewe unaandika kabisa na kujiamini kuwa tunachofanya ni sawa?? Huu ugonjwa sio issue ya Tanzania ni duniani kote chanjo utapiga unataka hutaki ni lazima jeuri yako italeta majanga kwa watu wengine hii sio optional tena, adhabu ya kwanza zitapigwa ban ndege zote kutua hakuna nchi itakayochukuwa risk kuwapelekea ugonjwa mbaya zaidi kuruhusu virus kubaki katika mzunguko ni kuvipa njia ya kujiegeuza na kuunza upya hili halitakubalika. Israel wameshasema jana 71% wamepata chanjo na drop ya wagonjwa 94% na UK number zinashuka USA number zinashuka unataka prove gani, piga marufuku basi na chanjo zote za watoto maana huko ndio wangetupa kama wanatutaka waje kutufunga uzazi leo watu wenyewe hata kwa vumbi la congo huna faida. Dunia nzima wako serious ila sisi tu wenye nyimbo ya uchumi wa kati(fake) ndio tuko smart sana? Nailaumu CCM wanaipeleka hii nchi kubaya na tutafika huko kama ZANUPF. tutafika tu ila kurudi ndio kimbembe.
View attachment 1703573
View attachment 1703577
Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona.
Kwa kitu gani? Kilichoileta Oman Air Zanzibar sio idadi ya waoman au wazanzibari wanaokuja kutumbeleana. Ndege nyingi za International flights zinakuja Zanzibar kuleta watalii. Hatujapungukiwa na kitu. Kumbuka, kuna kipindi hapakuwa na ndege hata moja ikitua Zanzibar hapo last year tu, na watu walikuwa wanalalamikia UTALII sio ndugu/jamaa/marafiki waliopo Oman.Nawahurumia wazanzibar!