Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Ulichokiona ndio hicho hicho nilichokiona kinakwenda kutokea. Hapo wanakwenda tu kukoleza kitu kile kile alichokisema Magu. Tusitegemee ripoti tofauti.

Wajumbe wote hao ni watumishi wa taasisi za umma, na wapo kulinda nafasi na ajira zao. Hakuna mwenye uwezo au ujasiri wa kuja na taarifa ya haki ambayo itakuwa kinyume na maneno ya Rais.
exactly! Hawawezi andika tofauti na Jiwe anvyotaka. Kumbuka akina Osoro Lisu aliowata Professorial rubbish!
 
Kuna usemi katika kiswahili ,"kichaa kapewa rungu"
usiitumie misemo vibaya. Tathmin kaul yako. Ha2na kchaa anaye ongoza nchi, kata, mtaa wala kijiji ukweli ni kwamba mihemko yako inakusumbua! Unakua kimwili bila kuzishnda hisia zako
 
Kamati! Nimejikuta nakumbuka ile "professorial rubbish" ya TL.

Hivi 'bana nkuba' si tayari ana conclusion yake? Hii kamati itakuwa huru kiasi cha kuweza kuita "chepe ni chepe"? Wataweza kuleta matokeo yanayopingana na maoni ya mamlaka? Thubutu yao!
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Dkt. Nyambura Moremi (Mkurugenzi) na Bw. Jacob Lusekelo (Meneja Udhibiti wa Ubora) kupisha uchunguzi.

Hilo limekuja baada ya hotuba ya Mh. Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa JMT hapo jana Mei 3, 2020 ambapo alibainisha changamoto na mapungufu ya utendaji wa maabara hiyo.


Sent from my TECNO AX8 using Tapatalk
Kwani lazima urudie habari ambayo ishatumwa na attachment imewekwa? Nyumbu wengine hopeless
 
Ni sawa "kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.

Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi.

Tuwape muda wafanye kazi yao, tusianze kuwa hukumu kabla.

Vinavyochunguzwa vingi naamini, watu uzoefu na taaluma zao hasa wahusika, machines zenyewe, chemicals/ reagents.
Na vingine tusivyo vijua.

Hivyo tuwape muda watuletee majibu.
Echeni upumbavu wa kuwaonea watu. Chukueni hizo spaceman za wanyama na matunda mkapime kwenye vifaa vya kupimia malaria muone italeta majibu gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulishasema Magufuli uogozi hawezi kabisa miaka mitano karibia bado anaendesha nchi kwa utepeli na kufubaza akili za wananchi naona wengi wameshamjawa sasa
 
Unafanya kazi kwa moyo mmoja mwisho wa siku unapokea shutuma tu.....So sad
 
Shida ni lengo na mazingira ya hili tukio. Rais anatafuta visingizio baada ya kuona mikakati yake ya kupambana na korona imebuma. Imeundwa kamati nzito, lakini sidhani kama ripoti yao itawekwa hadharani. Na kama wataamua kuianika hadharani, basi haitakuwa ile orijino, ila feki. Kinachotakiwa mkubwa apate mahali pa kuficha uso wake.

Itakuwa kama ishu za ripoti ya Makinikia
Inaweza kuwa kweli, tusubiri tuone. Itajulikana tu, ni swala la muda tu.
 
Soma hiyo barua mistari mitatu ya mwisho.
Umewahi kuwa chini ya uchunguzi wa serikali, mfano TAKUKURU, ambao unaweza kuamua hatma ya ajira yako, yaani kufukuzwa kazi, au hatma ya maisha yako yaani kwenda jela, halafu unaambiwa endelea na kazi kama kawaida!!!!! Huku unajua huenda baada wiki chache ukawa jela, tena uchunguzi ni maagizo toka juu?

Tuendelee kuwaombea wahudumu wa afya.
 
Umewahi kuwa chini ya uchunguzi wa serikali, mfano TAKUKURU, ambao unaweza kuamua hatma ya ajira yako, yaani kufukuzwa kazi, au hatma ya maisha yako yaani kwenda jela, halafu unaambiwa endelea na kazi kama kawaida!!!!! Huku unajua huenda baada wiki chache ukawa jela, tena uchunguzi ni maagizo toka juu?

Tuendelee kuwaombea wahudumu wa afya.
Huyo bosi mthibiti ubora nae anapima samples ndani ya maabara?
 
Wamevunja morali ya hao watumishi, tujifunze kufuata taratibu ambazo hazitaathiri utaalamu na kushusha credibility ya taasisi zetu wenyewe.....tutaishia kukejeliwa kimataifa na kuonekana kituko...
 
Ila swab kuweza kutofautisha kwa macho kuwa haikutoja kwa binadamu Ni vigumu Sana,,maana kunakuwa na unyevu tu kwenye pamba.

Macho hayawezi kudetermine kuwa huu unyevu umetoka kwenye mbuzi ama papai.

Kuna testing Aina tatu katika kudetermine infection,
1molecular test-ambayo hi ndo wanatumia kipimo Cha PCR,,wanaangalia RNA ya virus,wanaconvert into DNA kuweza kubaini uwepo wa virus,bacteria.

2,Culture testing- hii vipimo vinakuwa cultured ili kukuza bacteria,virus.
3,Antibodies test-hii wanapima damu ili kuweza kubaini antibodies dhidi ya ugonjwa huska,

So sielewi Hawa wataalamu vipi walishindwa kutofautisha RNA ya virus na ile ya maji ya papai
mkuu upo vizuri! asante sana.
 
Kwani lazima urudie habari ambayo ishatumwa na attachment imewekwa? Nyumbu wengine hopeless
Member wakongwe wa jf ni werevu sana kasoro wewe bogus sana. Unashindwaje kujua kwamba nyuzi hasa za breaking news sometimes huwa zinagongana?

Yani watu 30 mnaweza anzisha threads ambazo zote zinakuwa na same content. Kinachotokea wa kwanza kupost ndio anapewa priviledge ya uzi wake kubakizwa ila zingine zote zinaungwa hapo.

Hope you understand now!
Unforgetable
 
Hakusoma MASTER degree ila ana PhD? Halafu kamaliza 2018 karudi cheo ndiii?
 
Sumaku huvuta vitu vyenye asili ya chuma hata kama ungeiweka sehemu gani itachukua vitu tu vyenye asili ya chuma, tukiha kwenye hivi vipimo vinauwezo wa kumtafuta Corona popote alipo na kuthibitisha kuwa yupo

Kitendo cha kukutwa Corona hata kwenye mapapai hata Rais mwenyewe alisema kuwa hats yy anashangaa vile mnavyoshangaa nyie hata yy anashangaa hvy hvy kuwa how comes mapapai yawe positive

Dr mwele labda awe na underwear degrees kwamba kama kifaa kiko callibrated kutest Corona kwa hiyo kwa nn kitest positive kwenye mapapai yaliyochukuliwa kwa ustadi mkubwa?

Vile abavyoshangaa Dr mwele na wengine wanashangaa hvy hvy kwa hiyo imeundwa Tume ya Maprofessor wabobezi itakuja na majibu yote
 
Back
Top Bottom