Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

exactly! Hawawezi andika tofauti na Jiwe anvyotaka. Kumbuka akina Osoro Lisu aliowata Professorial rubbish!
 
Kuna usemi katika kiswahili ,"kichaa kapewa rungu"
usiitumie misemo vibaya. Tathmin kaul yako. Ha2na kchaa anaye ongoza nchi, kata, mtaa wala kijiji ukweli ni kwamba mihemko yako inakusumbua! Unakua kimwili bila kuzishnda hisia zako
 
Kamati! Nimejikuta nakumbuka ile "professorial rubbish" ya TL.

Hivi 'bana nkuba' si tayari ana conclusion yake? Hii kamati itakuwa huru kiasi cha kuweza kuita "chepe ni chepe"? Wataweza kuleta matokeo yanayopingana na maoni ya mamlaka? Thubutu yao!
 
Kwani lazima urudie habari ambayo ishatumwa na attachment imewekwa? Nyumbu wengine hopeless
 
Echeni upumbavu wa kuwaonea watu. Chukueni hizo spaceman za wanyama na matunda mkapime kwenye vifaa vya kupimia malaria muone italeta majibu gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulishasema Magufuli uogozi hawezi kabisa miaka mitano karibia bado anaendesha nchi kwa utepeli na kufubaza akili za wananchi naona wengi wameshamjawa sasa
 
Unafanya kazi kwa moyo mmoja mwisho wa siku unapokea shutuma tu.....So sad
 
Inaweza kuwa kweli, tusubiri tuone. Itajulikana tu, ni swala la muda tu.
 
Soma hiyo barua mistari mitatu ya mwisho.
Umewahi kuwa chini ya uchunguzi wa serikali, mfano TAKUKURU, ambao unaweza kuamua hatma ya ajira yako, yaani kufukuzwa kazi, au hatma ya maisha yako yaani kwenda jela, halafu unaambiwa endelea na kazi kama kawaida!!!!! Huku unajua huenda baada wiki chache ukawa jela, tena uchunguzi ni maagizo toka juu?

Tuendelee kuwaombea wahudumu wa afya.
 
Huyo bosi mthibiti ubora nae anapima samples ndani ya maabara?
 
Wamevunja morali ya hao watumishi, tujifunze kufuata taratibu ambazo hazitaathiri utaalamu na kushusha credibility ya taasisi zetu wenyewe.....tutaishia kukejeliwa kimataifa na kuonekana kituko...
 
mkuu upo vizuri! asante sana.
 
Kwani lazima urudie habari ambayo ishatumwa na attachment imewekwa? Nyumbu wengine hopeless
Member wakongwe wa jf ni werevu sana kasoro wewe bogus sana. Unashindwaje kujua kwamba nyuzi hasa za breaking news sometimes huwa zinagongana?

Yani watu 30 mnaweza anzisha threads ambazo zote zinakuwa na same content. Kinachotokea wa kwanza kupost ndio anapewa priviledge ya uzi wake kubakizwa ila zingine zote zinaungwa hapo.

Hope you understand now!
Unforgetable
 
Hakusoma MASTER degree ila ana PhD? Halafu kamaliza 2018 karudi cheo ndiii?
 
Sumaku huvuta vitu vyenye asili ya chuma hata kama ungeiweka sehemu gani itachukua vitu tu vyenye asili ya chuma, tukiha kwenye hivi vipimo vinauwezo wa kumtafuta Corona popote alipo na kuthibitisha kuwa yupo

Kitendo cha kukutwa Corona hata kwenye mapapai hata Rais mwenyewe alisema kuwa hats yy anashangaa vile mnavyoshangaa nyie hata yy anashangaa hvy hvy kuwa how comes mapapai yawe positive

Dr mwele labda awe na underwear degrees kwamba kama kifaa kiko callibrated kutest Corona kwa hiyo kwa nn kitest positive kwenye mapapai yaliyochukuliwa kwa ustadi mkubwa?

Vile abavyoshangaa Dr mwele na wengine wanashangaa hvy hvy kwa hiyo imeundwa Tume ya Maprofessor wabobezi itakuja na majibu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…