Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Inawezekana maji ya papai yalikuwa contaminated na Virus. Wamepima maji ya papai kudetermine presence of virus. They found it positive . I.e the virus was présent


Mk54
Wewe ni nguin per se! Umewahi kusoma molecular biology?
 
🔬Dr. Moremi akielezea jinsi ya kuchukua vipimo & kupima Coronavirus. Sasa JPM anavyotuambia sijui mapapai, mafenesi, oil chafu & mbuzi anatuchukuliaje yaani? Vipimo vinavyoenda Laboratory vinakuwa controlled kwa sababu ya legal ya security kibaiolojia. Wao walipenyezaje vyao?

 
Nazani kwenye papai walichukua utomvu ambao unafanana kabisa na kamasi za binadamu [emoji4][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Moremi anaonekana mrembo, 35 yrs bado wamo, isije kuwa ............................. naachia hapa
 
Inasikitisha,sasa hawatatoa tena updates kisa wanasingizia mashine mbovu. Yaani hawa hawafai hata kidogo. Wameamua wananchi wao wafe.
Rais JPM yale majibu ya positive yamemuuma sana hivyo nia yake ni kumtoa dada wa watu ili amuweke mtu atakayetoa Negative results..Inatisha sana
Asichokijua Ugonjwa wa Corona Lab results ni takataka ila Shughuli yake haifichiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii nchi. Mkurugenzi asimamishwa kazi.
Huyu lazima achukuliwe na mabeberu kama Mwele. Huwa tunawa-frustrate sana wasomi wa nchi hii hasa kwenye utawala huu. Inakera sana
 
Huyo bosi mthibiti ubora nae anapima samples ndani ya maabara?
Mkuu anaposema kuna watu wanalipwa na mabeberu kutoa matokeo ya uongo, ni wanaopima na kutoa matokeo, au Mkuu wa kitengo? Unafikiri Mkuu wa chuo akisimamishwa kazi sababu ya ufundishaji mbaya wa waalimu, ikaundwa tume kuchunguza, hao waalimu wapo salama.
 
Unawajua TISS?
 
Kosa si lao...huyo mthibiti ubora wa maabara ndo anafaa awekwe mtu kati.
 
Kwa hiyo serikali inavyotoa miradi kwa wageni inaendekeza ukoloni mambo leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafikiri Tanzania itakuwa na wagonjwa wachache, nini kinachokuaminisha hivyo wakati maambukizi yanatokana na misongamano?

Huhitaji kuwa na PhD ya Epidemiology kujua kuwa Tanzania itakuwa na maambukizi mengi sana pengine kuliko hata hizo namba tunazoambiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…