Huyo jamaa yako alitaka kuona maambukizi yanaisha baada ya maombi ya siku 3, haikuwa hivyo, akaanza kuagiza watoe taarifa za wanaopona na akasema wapo 100, ni kipimo gani kilitumika, nobody knows.Kama machines hazifanyi kazi au waliopo hajui kupima, taarifa mbovu zitakuwa na faida gani kwa umma?!
Ungeona kwamba hii ni step moja kutusaidia umma kupata accurate and precise information.
Hatutaki uongo, na wanaenda kurekebisha tupate ukweli na uhakika, what's wrong with that?!...
Kibeberu....changamoto inahusu maabara, lakini katika hiyo kamati wataalam wenyewe wa maabara wapo wawili tu, tena wastaafu. hii imekaaje?
Hahaha mi sihusiki lakini.Huyo jamaa yako alitaka kuona maambukizi yanaisha baada ya maombi ya siku 3, haikuwa hivyo, akaanza kuagiza watoe taarifa za wanaopona na akasema wapo 100, ni kipimo gani kilitumika, nobody knows.
Siasa ni mbaya sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
hapan kabisa, hao wataalamu wa kada zingine waingie hapo kufanya nini?Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/ huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine.
Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.
hii nayo ni point nzuriNi muhimu wangepata na wataalam independent kutoka nje ya Tz lkn ndani ya bara la Afrika
quiet an idea in the middle of the stormPCR zimeonyesha uhakika. Fake vingi ni rapid test. Ili mashine ionekane fake. Weka same samples kwenye mashine tofauti.
Katika sayansi lazima uprove hypothesis yako kwa kufanya experiment. Ili uprove machine A ni fake weka same samples kwenye machine tano tofauti, ili uchuje pumba na mchele.
mmh sawa msemaji na maabara ya taifa.Mkuu nasikia waakuwa overworked ile mbaya. Wengine wanafanya kazi zaidi ya 24Hrs
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Na vitawaumbua zaidi hasa ukifa weweIli tuamini idadi iliyotolewa awali ilikuwa na makosa. Sawa ila vifo vitawaumbua.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
Aliyeshindwa hutafuta pa kulaumu. Lielewe hilo na wanasaikolojia wanatwambia ukishapata kisingizio huwa umeshindwa.Kwamba anatumika na mabeberu au sio?
Hivi kwanini amekuwa obsessed na mabeberu kiasi hicho?