Ila swab kuweza kutofautisha kwa macho kuwa haikutoja kwa binadamu Ni vigumu Sana,,maana kunakuwa na unyevu tu kwenye pamba.
Macho hayawezi kudetermine kuwa huu unyevu umetoka kwenye mbuzi ama papai.
Kuna testing Aina tatu katika kudetermine infection,
1molecular test-ambayo hi ndo wanatumia kipimo Cha PCR,,wanaangalia RNA ya virus,wanaconvert into DNA kuweza kubaini uwepo wa virus,bacteria.
2,Culture testing- hii vipimo vinakuwa cultured ili kukuza bacteria,virus.
3,Antibodies test-hii wanapima damu ili kuweza kubaini antibodies dhidi ya ugonjwa huska,
So sielewi Hawa wataalamu vipi walishindwa kutofautisha RNA ya virus na ile ya maji ya papai