OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tumeacha vita dhidi ya corona tumegeukia vita ya wenyewe kwa yenyewe. Hii vita ya kuumiza wengine ndio vita anayoiweza Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walioteuliwa wametoka Jupiter?Maabara ya taifa ikigundulika na kasoro inakaguliwaga na wataalam kutoka huko mamlaka za duniani. Yani mnafanya mambo ya kipumbavu kabisa!
Wewe haya mambo ya kitaalam huyajuiHawa walioteuliwa wametoka Jupiter?
Hawawezi kutoa uchunguzi wa haki maana wanajua Magufuli anataka nini toka kwao. Anataka "negatives only". watapeleleza anataka kusikia nini, wataandika hayo hayo!
all are Scape goats ... the problem is the stone and the rest of the rocks
Wakati tunachunguzana kwanza Vita inasimama kwanza au inaendelea Kama kawaida?
Hakuna kamati ya wanasayansi ya kudeal na Corona,ila leo imeundwa kamati ya kuchunguza wataalam ambao huwa wanadeal na magonjwa yote ya mlipuko. Leo ndo wanatiliwa shaka jamani.Nilishangaa mpaka Leo hatuna kamati ya Korona