Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Kwa hiyo hamna shughuli inayoendelea maabara ya taifa mpaka May 13, hii ni hatari kwa kweli. Maisha yetu yanawekwa rehani kizembe sana[emoji54]
 
Kama watanzania wangekuwa wanachukua mambo kwa uzito wake, basi mzee baba popularity yake ipo below 50% among social network users, sijui hawa wapiga kura wengine wasiotumia social networks. Corona imechukua popularity iliyokuwa imebakia. But I still trust the man.
 
Kwanza namuona kilaza .Alitakiwa apeleke hizo sample kwa mashine tano tofauti ili walau kupata usahihi wa mashaka yake. Zile sample angetuma Kampla na Nairobi pia.

Maana huko ndio umeona wana vipimo sahihi?
 
Mimi siyo mtaalam wa maabara. Ila inawezekana wapo wachache. Pia muda unaotumika kutest sample moja; uwezo wa equipment etc. Ni mawazo yangu.
Sawa,Ni huwa inachukua muda kukamilisha upimaji,lakini kumbuka upimaji haukuwa wa holela,Bali suspected case ndo walipimwa,
Na Kama sikosei,Sina uhakika,hesabu haizidi 700
 
Kumekucha sasa, mwalimu na yeye inabidi awahiwahi kutetea ugali wake. Tutasikia na kuona mengi
 
Mgonjwa mathalani wa moyo amezidiwa, kakimbizwa hospitali, madaktali hawamtibu hadi wajiridhishe na hali yake kuhusu corona, machine inachunguzwa, watu wa maabara wapo chini ya uchunguzi....

Nini hatma ya wagonjwa, hasa waliozidiwa?
 
Hujanielewa. Lengo ni kulinganisha majibu. Na kujua effectiveness ya machine.
hakuna machine hivi sasa ambazo ziko sahihi kwa sababu watu wanataka kupiga pesa tu. UK walinunua mchine kwa £20 million ambazo zinaoza tu kwa sasa na wapo njiana kudai mpunga wao. Tuwe makini tu na kujiridhisha bila kukurupuka.
 
Kwanza namuona kilaza .Alitakiwa apeleke hizo sample kwa mashine tano tofauti ili walau kupata usahihi wa mashaka yake. Zile sample angetuma Kampla na Nairobi pia.
Tatizo lako naliona, ni kuwa mpo tofauti na mawazo ya Magufuli. Wewe unataka kuona kama machine yetu hapa Tanzania zinatoa majibu halisi, wakati yeye anaamini machine zipo Sawa ila majibu yanahujumiwa ili tuonekane hapa Tanzania kuna wagonjwa wengi.

Kwa hitaji lake alikuwa na option mbili ya kwanza kama unayofikiria na ya pili ni kukonfuse hiyo machine ili aone ni nini! Kwa Magufuli sample ya mbuzi kukutwa na coronavirus anadhani aidha wapimaji wamehongwa wanajitolea data tu (usisahau vijijini ulipokuwa enzi zile unapima malaria wengi waliandikiwa ipo), au vifaa vinavyotumika vimewekewa corona kimakusudi na waliotuuzia. Hivyo kwake papai kukutwa positive ni kuonesha si machine ila ni hila
 
Ripoti ikiwatia hatiani hatua za kinidhamu zitafuatia.
 
Hii ni tekniki ya kuivuruga idara na wizara ili cases zisitishwe kutangazwa. ameshindwa tu kusema msitangaze. ndo maana mtu aliyekuwa anapinga kutangaza Mwigulu ametunikiwa cheo
 
Ni sawa :kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.

Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi...

Hivyo tuwape muda watuletee majibu.
Hongera! Haka nikambinu kapya kakutufanya tusipate taarifa rasmi za maendeleo ya homa ya covid-19 kila siku.
 
Ivi ni kweli papai limepimwa likakutwa na corona,,? Haini ingii akilini.
 
Reactions: Mj1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…