chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Kwa hiyo hamna shughuli inayoendelea maabara ya taifa mpaka May 13, hii ni hatari kwa kweli. Maisha yetu yanawekwa rehani kizembe sana[emoji54]Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
View attachment 1439553