Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Kwani wasipeleke huyo mbuzi wao, Kware na Fenesi; vipimo vikachukuliwa upya kabla ya kuwasimamisha watu kazi. Hiyo ni kama one sided decision Magu knows best.
 
Mgonjwa mathalani wa moyo amezidiwa, kakimbizwa hospitali, madaktali hawamtibu hadi wajiridhishe na hali yake kuhusu corona, machine inachunguzwa, watu wa maabara wapo chini ya uchunguzi....

Nini hatma ya wagonjwa, hasa waliozidiwa?
Soma hiyo barua mistari mitatu ya mwisho.
 
Ni kwa sababu tunapenda kukurupuka. Lakini vipimio vya covid-19 sehemu kadhaa vimeonyesha udhaifu kwenye positivity or negativity. Kuwasimamisha hao wataalami sio Hamisi sahihi nionavyo Mimi.
PCR zimeonyesha uhakika. Fake vingi ni rapid test. Ili mashine ionekane fake. Weka same samples kwenye mashine tofauti.

Katika sayansi lazima uprove hypothesis yako kwa kufanya experiment. Ili uprove machine A ni fake weka same samples kwenye machine tano tofauti, ili uchuje pumba na mchele.
 
Hongera! Haka nikambinu kapya kakutufanya tusipate taarifa rasmi za maendeleo ya homa ya covid-19 kila siku.
Kama machines hazifanyi kazi au waliopo hajui kupima, taarifa mbovu zitakuwa na faida gani kwa umma?!

Ungeona kwamba hii ni step moja kutusaidia umma kupata accurate and precise information.
Hatutaki uongo, na wanaenda kurekebisha tupate ukweli na uhakika, what's wrong with that?!

Tuwape muda wafanye kazi yao, naamini haitachukua muda mrefu tutaambiwa what was wrong na labda baada ya marekebisho tunaweza kuwa na visa vingi au kupungua kana sio kuisha kabisa.

What if wote tulioambiwa ni negative walikuwa positive, na what if tuliambiwa ni positive walikuwa negative.

Hii hatua ni muhimu na nzuri, waaacheni wachape kazi.
 
Ndio maana ya kuunda tume ukweli utajulikana
 
Reactions: Mj1
Unategemea waje na majibu ambayo ni tofauti na mawazo ya Magufuli? Ile professorial rubbish ya mruma itajirudia tena hapa, just wait
Well how do we know, tunajifunza kila siku na hii inaweza kuwa step nzuri kupata uhakika.
Magufuli ndeye mchakataji wa taarifa maana yeye ndiye kawatuma, na ndiye atapewa kwanza.

Akiipenda nawe utapata, asipoipenda atatuambia yeye.
Mimi na wewe tusubirie majibu ya tume.
 

Mkuu kwani OIL ina Genetic Genome......sidhani kama OIL ina RNA
 
Inasikitisha,sasa hawatatoa tena updates kisa wanasingizia mashine mbovu. Yaani hawa hawafai hata kidogo. Wameamua wananchi wao wafe.
Sina mashaka Mh. Raisi kaingizwa mkenge. Kina Mchembe wamemsoma mawazo yake na wakampa anachokitaka, hawakumshauri kitaalamu. Majibu aliyotoa Mh. ni ya kawaida na yanaelezeka kwa mtaalamu yeyote wa afya anayeijua taaluma hiyo.

Hakuna cha ajabu katika majibu yale. Kiukweli nilisikitika sana nilipoona Raisi wangu mpendwa anaongea kama mtu ambaye hakusoma
 
K

Kwa Tanzania ya sasa ukisimamishwa kupisha uchunguzi ile nafasi yako sahau kabisa
Whatever happens to them is their business, wakikutwa na kasoro zisizorekebishika ni sawa wasiporudi, lakini wakikutwa na kasoro zisizowahusu wao labda wanaweza kurudishwa.

Hayo ni maamuzi ya tume watapendekeza nini na maamuzi watakayoamua wao wenye mamlaka.

May be will be for better, tusianze kuwa negative, tume ni hatua ya kwanza, matokeo ya tume ni hatua ya pili. Ya mwisho ni mtoa maamuzi
 
Tunasubiri Takwimu za COVID -19 hadi siku ya leo kabla ya kusimamishwa viongozi wa Maabara.
Taarifa ya mwisho alisoma Waziri Mkuu!,sasa hatujui usomaji takwimu utarudi kwa Waziri wa Afya au itosomwa na kiongozi wa ngazi inayofuata!!!
 
Kwamba anatumika na mabeberu au sio?

Hivi kwanini amekuwa obsessed na mabeberu kiasi hicho?

Wanatafutwa watu wa kusingiziwa baada ya kushindwa. Utasikia vita ya kiuchumi, sijui hatari kwa usalama. Tumekuwa watu wa kujiona tunaonewa wivu, tunatafutwa kumalizwa nk.

Kwa lipi hasa? Huenda siku moja tutasikia angalau mmoja anatajwa. Tunapigana na mabeberu hata tusiowafahamu, tena kichwani tu kama mapepo!! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…