Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwani wasipeleke huyo mbuzi wao, Kware na Fenesi; vipimo vikachukuliwa upya kabla ya kuwasimamisha watu kazi. Hiyo ni kama one sided decision Magu knows best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hiyo barua mistari mitatu ya mwisho.Mgonjwa mathalani wa moyo amezidiwa, kakimbizwa hospitali, madaktali hawamtibu hadi wajiridhishe na hali yake kuhusu corona, machine inachunguzwa, watu wa maabara wapo chini ya uchunguzi....
Nini hatma ya wagonjwa, hasa waliozidiwa?
Ni kwa sababu tunapenda kukurupuka. Lakini vipimio vya covid-19 sehemu kadhaa vimeonyesha udhaifu kwenye positivity or negativity. Kuwasimamisha hao wataalamusio uamuzi sahihi nionavyo Mimi.Afya
PCR zimeonyesha uhakika. Fake vingi ni rapid test. Ili mashine ionekane fake. Weka same samples kwenye mashine tofauti.Ni kwa sababu tunapenda kukurupuka. Lakini vipimio vya covid-19 sehemu kadhaa vimeonyesha udhaifu kwenye positivity or negativity. Kuwasimamisha hao wataalami sio Hamisi sahihi nionavyo Mimi.
Kama machines hazifanyi kazi au waliopo hajui kupima, taarifa mbovu zitakuwa na faida gani kwa umma?!Hongera! Haka nikambinu kapya kakutufanya tusipate taarifa rasmi za maendeleo ya homa ya covid-19 kila siku.
Ndio maana ya kuunda tume ukweli utajulikanaKama mlileta wenyewe mapapai ili kupima ubora wa vifaa….na kifaa kikatoa majibu ya positive kwa mapapai….sasa Mkurugenzi koosa lake lipi hapo? Je alipaswa kutoa majibu tofauti na ya vifaa au alipaswa kukaa chini na kuanza kupima (sijui kama vifaa hivyo vinapima the same) kama ni sampuli ya matunda au ya binadamu?
Halafu mnajaribuje ubora wa vifaa katika nyakati za dharura kama hizi ambako watu wana 'ripotiwa' kuufa kama nzige??
Well how do we know, tunajifunza kila siku na hii inaweza kuwa step nzuri kupata uhakika.Unategemea waje na majibu ambayo ni tofauti na mawazo ya Magufuli? Ile professorial rubbish ya mruma itajirudia tena hapa, just wait
Ila swab kuweza kutofautisha kwa macho kuwa haikutoja kwa binadamu Ni vigumu Sana,,maana kunakuwa na unyevu tu kwenye pamba.
Macho hayawezi kudetermine kuwa huu unyevu umetoka kwenye mbuzi ama papai.
Kuna testing Aina tatu katika kudetermine infection,
1molecular test-ambayo hi ndo wanatumia kipimo Cha PCR,,wanaangalia RNA ya virus,wanaconvert into DNA kuweza kubaini uwepo wa virus,bacteria.
2,Culture testing- hii vipimo vinakuwa cultured ili kukuza bacteria,virus.
3,Antibodies test-hii wanapima damu ili kuweza kubaini antibodies dhidi ya ugonjwa huska,
So sielewi Hawa wataalamu vipi walishindwa kutofautisha RNA ya virus na ile ya maji ya papai
Sina mashaka Mh. Raisi kaingizwa mkenge. Kina Mchembe wamemsoma mawazo yake na wakampa anachokitaka, hawakumshauri kitaalamu. Majibu aliyotoa Mh. ni ya kawaida na yanaelezeka kwa mtaalamu yeyote wa afya anayeijua taaluma hiyo.Inasikitisha,sasa hawatatoa tena updates kisa wanasingizia mashine mbovu. Yaani hawa hawafai hata kidogo. Wameamua wananchi wao wafe.
Whatever happens to them is their business, wakikutwa na kasoro zisizorekebishika ni sawa wasiporudi, lakini wakikutwa na kasoro zisizowahusu wao labda wanaweza kurudishwa.K
Kwa Tanzania ya sasa ukisimamishwa kupisha uchunguzi ile nafasi yako sahau kabisa
Kwamba anatumika na mabeberu au sio?
Hivi kwanini amekuwa obsessed na mabeberu kiasi hicho?
Kamati ipo mkuu, ile ya PM umeisahau?Nilishangaa mpaka Leo hatuna kamati ya Korona
nadhan koona inahusisha upotevu wa kumbukumbu piaKamati ipo mkuu, ile ya PM umeisahau?
Sent using iphone pro max
Afu tupo kwenye vita KWELI Dah inashangazaYaani hii nchi. Mkurugenzi asimamishwa kazi.