Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Sielewi sasa kwanini wanaendelea kupima ikiwa ubora wa matokeo ya vipimo yana mashaka.Kama kweli nia ni kwenda kurekebisha Sasa mbona wanasema wanaendelea kupima wananchi tunaziaminije hizo mashine ambazo zimeonekana hazitoa matokeo sahihi. Basi sample kwa sasa zingepelekwa hata nchi Jirani kwenye mashine zenye ubora. Kuliko watu waendelee kupimwa na mashine zinazotiliwa shaka ubora wake.
Swadakta, basi iwe tume huru ya kuchunguza. Sio hii ambayo Rais keshatengeneza tuhuma nzito kwa wataalamu wake kisha anaunda tume ambayo wote ni waajiriwa wake anao walipa huku hatma za kazi na maisha yao zinamtegemea mtoa tuhuma. Lazima majibu yampe favorKuna wakati lazima utumie akili. Nchi huru kukaribisha wageni kwenye jambo la kinchi ni ukoloni mambo leo. Kwa mfano unakuwa na tatizo katika familia yako, unamwita jirani as if huna competent person anayeweza kusolve tatizo hilo ni ujuha. Jaribu kila wakati kuanza na wako ndipo uende nje. Issue nani analipa ni suala lisilo na mantiki
Yani wewe ni mjinga kwelikweli. Sasa unetoa upuuzi gani huu. Unajua wanaopimwa wanakuwa katika stage gani? Ni sawa na unaenda kupima kuthibitisha kama una Cancer wakati upo stage 4. Tumieni akilikuna jamaa yangu amesema yafuatayo
1. kupitia namba za wagonjwa na vifo kupaa basi labda kuna hujuma na kuna tag of war madokta wakitaka kutuaminisha raia kuwa ugonjwa umeenea sana na ni hatari sana bila lockdown tutakwisha na sote tuko njiani kuelekea kaburini na maambukizi ni makubwa sana na hapa lengo lao madokta ni wao wa ‘shine’ kila mtu awasikilize wao na huu ndo muda wao kupiga hela za posho za overtime na kutamba kwa profession yao!wanataka sote tukae chini tufuate wanayosema na wajue si wabongo wa kuwaendesha hivyo!!
2. aidha kuna wagonjwa wengi wanaumwa na kupona Corona bila kupimwa au hakuna maambukizi yoyote jibu ni mojawapo sababu raia hawapimwi huwezi kujua jibu sahihi hadi
3
4...
Guys just thinking outside the box! tujikinge na Coronavirus, tufungue mashule sasa kuepusha mimba za utotoni na kuokoa uchumi! Wahusika just think kuwaokoa Corona girls!!
Ulichokiona ndio hicho hicho nilichokiona kinakwenda kutokea. Hapo wanakwenda tu kukoleza kitu kile kile alichokisema Magu. Tusitegemee ripoti tofauti.Hawawezi kutoa uchunguzi wa haki maana wanajua Magufuli anataka nini toka kwao. Anataka "negatives only". watapeleleza anataka kusikia nini, wataandika hayo hayo! Moreover, Profs are a favorite "recipe" of magufuli, si ajabu wakafanya hivyo ili kesho awateue in various positions za "ulaji" mimi sina imani kabisa na jopo hilo kwa mazingira ya sasa na Rais wetu!
Watende haki wasiende na majibu ya kuwapendeka wakubwa wao. Bado sioni kama hii ni tume huru.Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
View attachment 1439553
Kweli kabisa. Tume hii ingekuwa na maana kama mzee angeficha kwanza yale majibu yake ili kuja kuyathibitisha mbaada ya majibu ya tume hii. Vinginevyo ni kwenda kuwaonea watu na kumfurahisha zaidi jamaa.Ulichokiona ndio hicho hicho nilichokiona kinakwenda kutokea. Hapo wanakwenda tu kukoleza kitu kile kile alichokisema Magu. Tusitegemee ripoti tofauti.
Wajumbe wote hao ni watumishi wa taasisi za umma, na wapo kulinda nafasi na ajira zao. Hakuna mwenye uwezo au ujasiri wa kuja na taarifa ya haki ambayo itakuwa kinyume na maneno ya Rais.
wajinga ndio waliwao!! angalia usiambukize wanao ujinga wa kuto think before you vaporize! mkuu unatumia data za US au za wapi? lazima utakuwa dokta tu wewe , hivi hukusikia habari ya samples za mafenesi mapapai kware mbuzi na kondoo na majibu yao? hivi hujui bongo watu wanapimwa na mashine feki maabara feki wahudumu wa Maabara incompetent wewe peke yako tu ndo umebaki unaamini hizo takwimu!!Yani wewe ni mjinga kwelikweli. Sasa unetoa upuuzi gani huu. Unajua wanaopimwa wanakuwa katika stage gani? Ni sawa na unaenda kupima kuthibitisha kama una Cancer wakati upo stage 4. Tumieni akili
Shida ni lengo na mazingira ya hili tukio. Rais anatafuta visingizio baada ya kuona mikakati yake ya kupambana na korona imebuma. Imeundwa kamati nzito, lakini sidhani kama ripoti yao itawekwa hadharani.Ni sawa "kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.
Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi.
Tuwape muda wafanye kazi yao, tusianze kuwa hukumu kabla.
Vinavyochunguzwa vingi naamini, watu uzoefu na taaluma zao hasa wahusika, machines zenyewe, chemicals/ reagents.
Na vingine tusivyo vijua.
Hivyo tuwape muda watuletee majibu.
MMmmmh wakiwekwa wataalamu wa kada zingine na wao si watasangaa kuona sampuli ya papai inasoma positive coona?Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine. Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.
Wangekuwa wanasiasa kama Mwigulu wanaotegemea Siasa kuishi ingekuwa tatizo ila watu wenye taaluma ya udaktari ( afya kwa ujumla) ni sawa na kumpiga teke chura kama MweleWaziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
View attachment 1439553
Ila swab kuweza kutofautisha kwa macho kuwa haikutoja kwa binadamu Ni vigumu Sana,,maana kunakuwa na unyevu tu kwenye pamba.
Macho hayawezi kudetermine kuwa huu unyevu umetoka kwenye mbuzi ama papai.
Kuna testing Aina tatu katika kudetermine infection,
1molecular test-ambayo hi ndo wanatumia kipimo Cha PCR,,wanaangalia RNA ya virus,wanaconvert into DNA kuweza kubaini uwepo wa virus,bacteria.
2,Culture testing- hii vipimo vinakuwa cultured ili kukuza bacteria,virus.
3,Antibodies test-hii wanapima damu ili kuweza kubaini antibodies dhidi ya ugonjwa huska,
So sielewi Hawa wataalamu vipi walishindwa kutofautisha RNA ya virus na ile ya maji ya papai