cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Ni wakati mwafaka kwa serikali ya Kusadikika kujitokeza na kuitangazia dunia kuwa hakuna covid 19 katika nchi hiyo
Tunashukuru waziri kutuambia wamebaki wagonjwa 70 tu,ambao kesho na keshokutwa watakuwa wamepona,hii ni habari njema sana
Naiomba Serikali iruhusu wanafunzi warudi shule,zile hostel za jina la Rais nadhani sio karantini tena, wanachuo warudi chuoni wakasome angalau wale wa miaka ya mwisho wakamalizie Semista
Nitashangaa kuwa mpaka sasa kuna mkoa una karantini,sijui ili iweje
Tunashukuru serikali kwa kudhibiti hivi virus,sasa vimeanza kutokomea kabisa,nahis baada ya siku tatu hatutakuwa na mgonjwa
Mungu ibariki serikali
Mungu ibariki nchi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app