Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani




Natamani kuongea kitu ila naogopa[emoji22]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inji mambo yake huwa yanaenda kimaajabuajabu na watu watashangaa na kupotezea, watu wanapotea kimaajabuajabu tunashangaa tunapotezea, hata COVID 19 nae atapotea tu kimaajabu ajabu manake kajichanganya kwenye inji ya kusadikika.
 
Wananchi endeleeni na shughuli zenu kama kawaida msitishwe.Na hayo mandoo yaliyojaa mitaani sijui ya sanitizer yamwageni na hiyo mibarakoa chomeni moto inatisha watu tu na kuwajaza hofu tu wanashindwa kuchapa kazi kwa uhuru.Na hao mliowarundika kwenye ma quarantine waachwe warudi kuendelea na shughuri zao za kila siku.
 
Nchi za ki communist na za ki soshalist huwa ziko hivyo. Mnasahau China imepika takwinu kuaninisha umma kuwa wamedhibiti ugonjwa !!. Sasa hapa kina Mwigulu ndiyo washauri wakuu utegemee nini ?!

Shule zifunguliwe watoto warudi mabwenini . Tuache kuzinguana. Kila mtu ataisikia mwenyewe mwilini

Odhis *
 
Safi sana mama Cata shingo! , tangu bosi wako amekupa karipio kali sasa unatangaza uponyaji tu! Hakuna vifo wala maambukizi mapya[emoji11][emoji11].
Hongereni wananzengo kwa kuanza kujifukiza[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itatangaza ikiona inafaa bila hata kupangiwa kama ambavyo ilitangaza mgonjwa wa kwanza.
 
Chukua namba ndogo mkuu ufurahishe nafsi maana hupendi habari nzuri za taifa hili.
Tatizo sio kupenda habari nzuri. Tatizo habari zenyewe ndo haziaminiki kwavile tunajua zinatolewa kwa shinikizo la matakwa ya boss!
 
Nchi ikisukumwa kweli inaenda...wagonjwa wamesukumwa mpaka wamepona dadadadekkk!
Ndomana mimi naona tutumie jeshi kila mahali hata muhimbili toa madokta tia wajeda ndani yasiku chache hospitali itabaki nyeupe wagonjwa wote wamepona
 
Kwanini wengi mnatamani idadi kubwa itangazwe ya wenye maambukizi na waliokufa kama siyo roho ya uchawi inawasumbua

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkuu unadhani hata Italy marecani hawatangazi wanaopona?tatizo LA huu ugonjwa wangonjwa namba yake inazidi. Wanàoponà cha msingi ndungu jikinye wewe ili usiwaambukize na wengine ila hali sii nzuri kwa ukimya huu kuna msemo wanasema vita vilivyotangazo haviuwi
 
Itatangaza muda ukifika Kama una haraka sana si umwambie DJ atangaze pale mtaa wa ufipa
 
Naona uhalali na uhalisia wa takwimu nilkuwa najiulza mbona Kenya,Uganda, Rwanda na kwengine wagonjwa wanapona vipi kwetu Tanzania wachelewa kupona?
Kumbe ni mchakato wa uhakiki😀😀
Kongole wote waliofanikisha hayo
Tchao Muuza Nyanya Kijijini Doma
 
Huyu waziri bhana , yaani katoka huko kuja kuongea na vyombo kuhusu waliopona tuu?? Inamaana hakuna maambukizi mapya? Kama yapo kwa nini asingetangaza pale pale au anasubiri jioni arudi tena kututangazia

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri upate habari za maambukizi mapya toka serikali ya Zanzibar kwanza ndipo utasikia na zile za Bara.
 
Hii nchi ivi ina shida gani maana mimi siielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…