Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.

Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.
 

Chadema watapinga
 
Huko kwenye ardhi kuna machozi ya watu wengi Sana. Jamaa hawana huruma kabisa. Mnasema polisi ni makatili na wala rushwa, siku ukikutana na watu wa ardhi utajua haujui. Nenda Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijiji ukajionee mwenyewe.
Dawa ni kupanda miti na kujenga.

Hii inasaidia kwa asilimia kubwa sana
 
Ofisi zote zimeoza kabisa.Hii Nchi tuwape tu JWTZ waziendeshe ofisi zote maana wao hawana ubabaishaji.wanajesho ni wazalendo na niweledi kwenye kufanya kazi.
 
Uko sahi
uko sahihi wafanyie kazi sehemu moja, ubunifu mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…