Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

Nimesikitika sana kwa baadhi ya watu kutoa sifa kwa huyo waziri pasipo kujua.

ni hivi kwa sasa idara ya ardhi ktk halmashauri za wilaya au majiji ina report kwa makamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa jiji au halmashauri

kwaiyo kuifunga hiyo ofisi ni jambo la kawaida
 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.

Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.
Asante sana mh waziri Jerry
 
Makonda na Jerry Slaa ndiyo wanaoibeba serikali ya Samia kwa sasa
Na kuna yule Mkuu wa Mkoa wa Kagera ,nae yuko moto ,anawapelekea moto mafisadi huko kagera siyo mchezo, kwa kweli Mungu awalinde kwa kila husuda watakazo fanyiwa na hao mahasidi wa kuiba haki za watu!!
 
Naunga Mkono hoja!!

Hili agizo liende Mikoa yote,hususani kwenye zile halmashauri zilizopo katika Makao ya Mkoa,zibaki zile halmashauri zilizo mbali na Makao Makuu ya Mkoa!!

Mfano mdogo ni Mkoa wa Njombe!!

Ofisi za Ardhi mji wa Njombe na ofisi ya Kamishna wa Ardhi ziko umbali wa Kama 2Kms tu,lakini fomu za kuomba leseni zinatumia zaidi ya mwezi mmoja kumfikia Kamishna wa ardhi!!
 
Nimesikitika sana kwa baadhi ya watu kutoa sifa kwa huyo waziri pasipo kujua.

ni hivi kwa sasa idara ya ardhi ktk halmashauri za wilaya au majiji ina report kwa makamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa jiji au halmashauri

kwaiyo kuifunga hiyo ofisi ni jambo la kawaida
Kajamaa kanapenda attention hatari kama kajafo kipindi Cha jiwe
 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.

Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.
Huyu muigizaji tu juzi alikuwa anagawa hati pale bunju. hivi hizi ndy kaz za waziri kli ataagaia vwanja watu anga na ka mda gan hadi aimalize hii nchi
 
Kajamaa kanapenda attention hatari kama kajafo kipindi Cha jiwe
Wwe lazima utakua tapeli, au unashirikiana na hao matapeli, kufungwa kwa hizo office kumekukosesha maokoto ya kitapeli, punguza hasira ,ni muda wa kurudisha watoto wako Kayumba kutoka shule za why,you, Good morning teacher!!
 
Kuna wizara ukipewa ni lazima utumie mabavu maana kuna madudu mengi
Hizi cosmetic changes na mazingaombwe kwenye uongozi hazitatatua lolote. Sisi watanzania ni rahisi sana kurubuniwa. Tatizo letu kubwa ni mfumo mzima wa uongozi kuanzia juu kabisa. Bila kuufumua na kusuka upya ni bure. Kwa nini tusitumia uzoefu wa nchi ambazo zimepiga hatua za kiungozi kama hizi nchi za Scandinavia, tukaiga mifumo yao, na ku-modify kidogo ili iendane na mazingira yetu? Blu print tunayo lakini hatutaki kuitumia.
 
Na kuna yule Mkuu wa Mkoa wa Kagera ,nae yuko moto ,anawapelekea moto mafisadi huko kagera siyo mchezo, kwa kweli Mungu awalinde kwa kila husuda watakazo fanyiwa na hao mahasidi wa kuiba haki za watu!!
Huyo mwanamke wa kagera ndo ameifanya Bukoba iwe na stendi ya kisasa mpaka sasa. Vinginevyo kungekuwepo na matope kama siku zote
 
Hizi cosmetic changes na mazingaombwe kwenye uongozi hazitatatua lolote. Sisi watanzania ni rahisi sana kurubuniwa. Tatizo letu kubwa ni mfumo mzima wa uongozi kuanzia juu kabisa. Bila kuufumua na kusuka upya ni bure. Kwa nini tusitumia uzoefu wa nchi ambazo zimepiga hatua za kiungozi kama hizi nchi za Scandinavia, tukaiga mifumo yao, na ku-modify kidogo ili iendane na mazingira yetu? Blu print tunayo lakini hatutaki kuitumia.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa kisiasa na kiutendaji, ni kweli sheria tunazo, ila kinachotuponza ni ujinga, maradhi ya akili na umasikini.

Kwenye utendaji na siasa kuna kitu wanaita kujiongeza yaani maana yake kupata zaidi ya kile unachostahili kisheria. Na hili ndilo linachochea watu kufanya kazi nje ya mstari kwa sababu ya kutaka kufukia gepu la umasikini.

Mfano, mtu ukiwa na nafasi fulani, na ukashindwa kutajirika, jamii inakucheka kwamba hukujiongeza.

Ama ukiwa na nafasi nzuri unaonenaka upo kwenye ulaji.

Kwa hiyo mtu yeyote akiwekwa mahali popote anajifikiria yeye kwanza kwa sababu katoka kwenye umasikini.
 
Ni kweli. Umaskini unachangia lakini bado kuna wengi hasa nafasi za juu wana kipato kizuri tu lakini hawatosheki. Pa kuanzia ni lazima kurekebisha mfumo ili wananchi wawe na uwezo ku kuchagua na kuwatoa watendaji wa serikali na siyo kama sasa.
 
Wwe lazima utakua tapeli, au unashirikiana na hao matapeli, kufungwa kwa hizo office kumekukosesha maokoto ya kitapeli, punguza hasira ,ni muda wa kurudisha watoto wako Kayumba kutoka shule za why,you, Good morning teacher!!

1. Kama haujui jambo bora ukae kmya sio kutoa dharau zako na mihemko
2. Elewa kwamba idara za ardhi ktk halmashauri kwa sasa zina wajibika kwa kamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa halmashauri
3. Huyo waziri aje na mipango na mikakati yenye ufanisi ktk kupunguza kesi na migogoro ya ardhi kote nchini ktk halmashauri zote na sio dodoma pekee yake
4. Huyo waziri atambue kuhamisha watendaji ofisi sio njia ya kutatua migogoro ni kubadilisha tu jengo la ofisi huku migogoro ikiendelea kuwepo
5. Migogoro ya ardhi ipo ktk kila halmashauri, je huyo waziri kwa nini afanye jambo hilo kwa halmashauri ya dodoma pekee je ni chuki zake binafsi au kwa sababu ya maslahi yake binafsi?
 
Nimesikitika sana kwa baadhi ya watu kutoa sifa kwa huyo waziri pasipo kujua.

ni hivi kwa sasa idara ya ardhi ktk halmashauri za wilaya au majiji ina report kwa makamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa jiji au halmashauri

kwaiyo kuifunga hiyo ofisi ni jambo la kawaida
Na haijafungwa.. imehama
🙄
 
Dawa ni kupanda miti na kujenga.

Hii inasaidia kwa asilimia kubwa sana
kipindi unapanda miti kabla haujaanza ujenzi ndiyo hapo kuna mtu anakutangiza mbele na kukwambia unapanda miti kwenye kiwanja chake, tayari kinaumana na kuumana.

Kada hii ya aridhi isipofumuliwa na kuipanga upya, itaendelea kuchezea haki za watu sana, walishazoea kupata mapato ya rushwa.
 
Ofisi zote zimeoza kabisa.Hii Nchi tuwape tu JWTZ waziendeshe ofisi zote maana wao hawana ubabaishaji.wanajesho ni wazalendo na niweledi kwenye kufanya kazi.
Labda uwapeleke darasani kwanza,Kuna taaluma inabidi usomee mzee,sio manguvu
 
Back
Top Bottom