Asante sana mh waziri Jerry
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.
Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.
Na kuna yule Mkuu wa Mkoa wa Kagera ,nae yuko moto ,anawapelekea moto mafisadi huko kagera siyo mchezo, kwa kweli Mungu awalinde kwa kila husuda watakazo fanyiwa na hao mahasidi wa kuiba haki za watu!!Makonda na Jerry Slaa ndiyo wanaoibeba serikali ya Samia kwa sasa
Kajamaa kanapenda attention hatari kama kajafo kipindi Cha jiweNimesikitika sana kwa baadhi ya watu kutoa sifa kwa huyo waziri pasipo kujua.
ni hivi kwa sasa idara ya ardhi ktk halmashauri za wilaya au majiji ina report kwa makamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa jiji au halmashauri
kwaiyo kuifunga hiyo ofisi ni jambo la kawaida
Huyu muigizaji tu juzi alikuwa anagawa hati pale bunju. hivi hizi ndy kaz za waziri kli ataagaia vwanja watu anga na ka mda gan hadi aimalize hii nchi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.
Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa kuwa na kesi zaidi ya 3,000 za ugawaji wa viwanja kwa wamiliki zaidi ya mmoja.
Wwe lazima utakua tapeli, au unashirikiana na hao matapeli, kufungwa kwa hizo office kumekukosesha maokoto ya kitapeli, punguza hasira ,ni muda wa kurudisha watoto wako Kayumba kutoka shule za why,you, Good morning teacher!!Kajamaa kanapenda attention hatari kama kajafo kipindi Cha jiwe
Mbona waliwahi kuhusika na ufisadi wa Deep green/Meremeta? Nao majizi tuOfisi zote zimeoza kabisa.Hii Nchi tuwape tu JWTZ waziendeshe ofisi zote maana wao hawana ubabaishaji.wanajesho ni wazalendo na niweledi kwenye kufanya kazi.
[emoji3][emoji3] Spana at work.Usituletee ushuzi wa Makonda, yule hata akili hana
Hizi cosmetic changes na mazingaombwe kwenye uongozi hazitatatua lolote. Sisi watanzania ni rahisi sana kurubuniwa. Tatizo letu kubwa ni mfumo mzima wa uongozi kuanzia juu kabisa. Bila kuufumua na kusuka upya ni bure. Kwa nini tusitumia uzoefu wa nchi ambazo zimepiga hatua za kiungozi kama hizi nchi za Scandinavia, tukaiga mifumo yao, na ku-modify kidogo ili iendane na mazingira yetu? Blu print tunayo lakini hatutaki kuitumia.Kuna wizara ukipewa ni lazima utumie mabavu maana kuna madudu mengi
Huyo mwanamke wa kagera ndo ameifanya Bukoba iwe na stendi ya kisasa mpaka sasa. Vinginevyo kungekuwepo na matope kama siku zoteNa kuna yule Mkuu wa Mkoa wa Kagera ,nae yuko moto ,anawapelekea moto mafisadi huko kagera siyo mchezo, kwa kweli Mungu awalinde kwa kila husuda watakazo fanyiwa na hao mahasidi wa kuiba haki za watu!!
Hizi cosmetic changes na mazingaombwe kwenye uongozi hazitatatua lolote. Sisi watanzania ni rahisi sana kurubuniwa. Tatizo letu kubwa ni mfumo mzima wa uongozi kuanzia juu kabisa. Bila kuufumua na kusuka upya ni bure. Kwa nini tusitumia uzoefu wa nchi ambazo zimepiga hatua za kiungozi kama hizi nchi za Scandinavia, tukaiga mifumo yao, na ku-modify kidogo ili iendane na mazingira yetu? Blu print tunayo lakini hatutaki kuitumia.
Ni kweli. Umaskini unachangia lakini bado kuna wengi hasa nafasi za juu wana kipato kizuri tu lakini hawatosheki. Pa kuanzia ni lazima kurekebisha mfumo ili wananchi wawe na uwezo ku kuchagua na kuwatoa watendaji wa serikali na siyo kama sasa.Kwa uzoefu wangu mdogo wa kisiasa na kiutendaji, ni kweli sheria tunazo, ila kinachotuponza ni ujinga, maradhi ya akili na umasikini.
Kwenye utendaji na siasa kuna kitu wanaita kujiongeza yaani maana yake kupata zaidi ya kile unachostahili kisheria. Na hili ndilo linachochea watu kufanya kazi nje ya mstari kwa sababu ya kutaka kufukia gepu la umasikini.
Mfano, mtu ukiwa na nafasi fulani, na ukashindwa kutajirika, jamii inakucheka kwamba hukujiongeza.
Ama ukiwa na nafasi nzuri unaonenaka upo kwenye ulaji.
Kwa hiyo mtu yeyote akiwekwa mahali popote anajifikiria yeye kwanza kwa sababu katoka kwenye umasikini.
Wwe lazima utakua tapeli, au unashirikiana na hao matapeli, kufungwa kwa hizo office kumekukosesha maokoto ya kitapeli, punguza hasira ,ni muda wa kurudisha watoto wako Kayumba kutoka shule za why,you, Good morning teacher!!
Hawa ni mashoka ukipita anga zao na uozo wanakula kichwaMakonda na Jerry Slaa ndiyo wanaoibeba serikali ya Samia kwa sasa
Na haijafungwa.. imehamaNimesikitika sana kwa baadhi ya watu kutoa sifa kwa huyo waziri pasipo kujua.
ni hivi kwa sasa idara ya ardhi ktk halmashauri za wilaya au majiji ina report kwa makamishna wa ardhi sio kwa wakurugenzi wa jiji au halmashauri
kwaiyo kuifunga hiyo ofisi ni jambo la kawaida
Hujui usemalo….
kipindi unapanda miti kabla haujaanza ujenzi ndiyo hapo kuna mtu anakutangiza mbele na kukwambia unapanda miti kwenye kiwanja chake, tayari kinaumana na kuumana.Dawa ni kupanda miti na kujenga.
Hii inasaidia kwa asilimia kubwa sana
Labda uwapeleke darasani kwanza,Kuna taaluma inabidi usomee mzee,sio manguvuOfisi zote zimeoza kabisa.Hii Nchi tuwape tu JWTZ waziendeshe ofisi zote maana wao hawana ubabaishaji.wanajesho ni wazalendo na niweledi kwenye kufanya kazi.