S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 May 28, 2024 #41 Cetshwayo Kampande said: Labda uwapeleke darasani kwanza,Kuna taaluma inabidi usomee mzee,sio manguvu Click to expand... Nani kakwambia hawajasoma?
Cetshwayo Kampande said: Labda uwapeleke darasani kwanza,Kuna taaluma inabidi usomee mzee,sio manguvu Click to expand... Nani kakwambia hawajasoma?
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 May 28, 2024 #42 vvm said: Waziri wa mfano...Huyu akipewa Uraisi Nchi itanyooka Click to expand... Urais utaulinganisha na uwaziri?!! Kipi cha maana ambacho magufuri alikifanya akiwa rais,? Baada ya kusifiwa kwenye uwaziri?!!
vvm said: Waziri wa mfano...Huyu akipewa Uraisi Nchi itanyooka Click to expand... Urais utaulinganisha na uwaziri?!! Kipi cha maana ambacho magufuri alikifanya akiwa rais,? Baada ya kusifiwa kwenye uwaziri?!!
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 May 28, 2024 #43 Ukinunua kipande cha ardhi nchi hii na ukakosa kupata misukosuko shukuru Mungu. Bado nchi ina mapori, sipati picha huko 2070 hali itakuwaje
Ukinunua kipande cha ardhi nchi hii na ukakosa kupata misukosuko shukuru Mungu. Bado nchi ina mapori, sipati picha huko 2070 hali itakuwaje
Cetshwayo Kampande JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,295 Reaction score 2,973 May 28, 2024 #44 Sappire said: Nani kakwambia hawajasoma? Click to expand... Sijasema hawajasoma