Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja kuweka dawati la mauzo ofisi za ardhi za wilaya na mikoa.

Silaa ametoa maagizo hayo katika ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki zao baada ya kuuziwa viwanja hewa na kampuni ya Digital Auction LTD kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 166.

“Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati, Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanyonge wanateseka na kutapeliwa fedha zao” Amesema Waziri Silaa.

Aidha, amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa yote nchini kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati kama zao la upimaji wowote wa ardhi na amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
 
Viwanja vina balaa sana

Kiwanja ndio sehemu pekee ambayo hata mawaziri huwa wanatapeliwa.

Ma brigedia wa jeshi huwa wanatapeliwa pia kwenye mauziano ya kiwanja.

Kiwanja hakina mjanja hata majaji wenyewe huwa wanapigwa kwenye kiwanja.

Mke wa Nyerere mwenyewe alitaka kutapeliwa kiwanja cha baba wa taifa pale mikocheni
 
maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
Hati lazima iwe na jina la mmiliki. Unataka kununua kianja, nayeuza anatafuta hati kwa jina lako, ndiyo anakuuzia. hakuna atajkayekubali hilo. Ukiwa na survey plan, then unmpa copy ya survey plan yeye anatafuta hati!

Nadhani huu ni mwongozo mzuri, read
 
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja kuweka dawati la mauzo ofisi za ardhi za wilaya na mikoa.

Silaa ametoa maagizo hayo katika ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki zao baada ya kuuziwa viwanja hewa na kampuni ya Digital Auction LTD kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 166.

“Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati, Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanyonge wanateseka na kutapeliwa fedha zao” Amesema Waziri Silaa.

Aidha, amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa yote nchini kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati kama zao la upimaji wowote wa ardhi na amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
MUNGU AKULINDE MATE IPO SIKUU HAYA MAMBO YATAISHA TU WATU WAMEKUFS SANA KWA KUDHULUMIWA NA WAHUNI NA KUKIMBILIA MAHAKAMAN WAKIJUA WANA HELA ZAMU YAO KUKUTANA NA MUNGU
 
MUNGU AKULINDE MATE IPO SIKUU HAYA MAMBO YATAISHA TU WATU WAMEKUFS SANA KWA KUDHULUMIWA NA WAHUNI NA KUKIMBILIA MAHAKAMAN WAKIJUA WANA HELA ZAMU YAO KUKUTANA NA MUNGU
 
Viwanja vina balaa sana

Kiwanja ndio sehemu pekee ambayo hata mawaziri huwa wanatapeliwa.

Ma brigedia wa jeshi huwa wanatapeliwa pia kwenye mauziano ya kiwanja.

Kiwanja hakina mjanja hata majaji wenyewe huwa wanapigwa kwenye kiwanja.

Mke wa Nyerere mwenyewe alitaka kutapeliwa kiwanja cha baba wa taifa pale mikocheni

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja kuweka dawati la mauzo ofisi za ardhi za wilaya na mikoa.

Silaa ametoa maagizo hayo katika ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki zao baada ya kuuziwa viwanja hewa na kampuni ya Digital Auction LTD kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 166.

“Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati, Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanyonge wanateseka na kutapeliwa fedha zao” Amesema Waziri Silaa.

Aidha, amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa yote nchini kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati kama zao la upimaji wowote wa ardhi na amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
Hadi katibu mkuu mstaafu juzi kati nae alikuwa analalamika ametapeliwa
 
Silaa ametoa maagizo hayo katika ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki zao baada ya kuuziwa viwanja hewa na kampuni ya Digital Auction LTD kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 166.
Kwanini asikae Dodoma ili sisi wa Kigoma tumfikie kirahisi?
Huko Dar anatengeneza perdiems
 
# ROCA FELLA

HATA WAKOLONI ENZI HIZO WALIPIGANA KWA AJILI YA MIPAKA NA MAKOLONI YA KUTAWALA, KWA HIYO MIGOGORO YA ARDHI HAITO ISHA KIRAHISI ITACHUKUA MUDA MWINGI .
 
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja kuweka dawati la mauzo ofisi za ardhi za wilaya na mikoa.

Silaa ametoa maagizo hayo katika ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki zao baada ya kuuziwa viwanja hewa na kampuni ya Digital Auction LTD kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 166.

“Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati, Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanyonge wanateseka na kutapeliwa fedha zao” Amesema Waziri Silaa.

Aidha, amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa yote nchini kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati kama zao la upimaji wowote wa ardhi na amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
Maamuzi kama haya yenye akili pamoja na hatua madhubuti anazozichukua huyu kijana, hatujaziona kwa mtangulizi wake Anjelina Mabula!

Tuseme mawaziri wengi wa Serikali ya awamu hii wamekaa maofisini kama picha ili kujaza nafasi za Portifolio bila uwajibikaji wowote ule.

Tunawaunga mkono wanasiasa wanaopigia kelele baraza la mawaziri lipunguzwe kwa udogo uwezekanao ili kubana matumizi ya Serikali yasiyo na tija na kutokomeza mawaziri mizigo wasiowajibikia nafasi zao.
 
IMG_20240506_093246.jpg

😳😳😳
 
Kazi nzuri tatizo linakuja hizo issue zina mikono ya mabosi wake.
 
MUNGU AKULINDE MATE IPO SIKUU HAYA MAMBO YATAISHA TU WATU WAMEKUFS SANA KWA KUDHULUMIWA NA WAHUNI NA KUKIMBILIA MAHAKAMAN WAKIJUA WANA HELA ZAMU YAO KUKUTANA NA MUNGU
We jamaa dishi limeyumba ,hujui kuandika, na unaandika utumbo
 
Back
Top Bottom