saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.
Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa.
Anakula na ofisi ya msajili kanda ya kaskazini. Anaitwa Mosses Ntumengwa, kwanza karibu mwezi mzima hayupo ofisini.
Tafuteni pa kumpeleka huyu mtu wenu.