Mkuu Dkt. Gwajima D karibu hukuWaziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango,kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi,pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea,last week kuna mtoto amefariki kwa kukosa hewa safi
Huyu mama ni tapeli na uraia wake unautata ni wale walitajwa na mkuu wa majeshiDaaah
Utata huo ni wa namna gani mkuuHuyu mama ni tapeli na uraia wake unautata ni wale walitajwa na mkuu wa majeshi
Ni mnyarwandaUtata huo ni wa namna gani mkuu
Una dondoo zozote kuhusu tuhuma hizi mkuu hata PM waweza kujaNi mnyarwanda
taarifa wanazo usalama wa taifa na mkuh wa mjeshi wewe hazitakusaidiaUna dondoo zozote kuhusu tuhuma hizi mkuu hata PM waweza kuja
Ahsante kwa taarifa. Tunafuatilia. ShukraniWaziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
Nimewahi kupeleka msaada hapo. Nakumbuka unashuka Sinza Madukani. Unaenda uelekeo wa Namnani Hotel kama sijakosea.Huyu mama ni tapeli na uraia wake unautata ni wale walitajwa na mkuu wa majeshi
Ni mnyarwanda
Lakini maelezo mengine ni sahihi mkuuNimewahi kupeleka msaada hapo. Nakumbuka unashuka Sinza Madukani. Unaenda uelekeo wa Namnani Hotel kama sijakosea.
Sidhani shutuma za uraia kama ni za kweli. Watanzania mnaogopa sana wageni.
Mungu akubaliki sana Dr wewe ndio kati ya viongozi ambao umediriki na unajitahidi sana kujibu kero za watu bila kuogopa kwenye mitandao ya kijamii!
Waziri atakuja kujibutusubiri makonda tumemuachia yote sio serikali wala JF .mawazo ya ccm
Watoto wanaishi kwenye mazingira machafu sana na ni wengi mnoHawa watu huwa na roho ngumu sana ,,sijui kama hizo hela anazopata,,watoto wanapata chakula chakutosha[emoji3064]
Yes, suala la mlundikano ni kweli kabisa.Lakini maelezo mengine ni sahihi mkuu
Umeandika kimbeya sana hakuna facts hata moja, how can kukosa hewa kuuwe mmoja tu kati ya wengi? Au umefukuzwa kazi,?Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
Wewe utakuwa ni Afisa wa ustawi wa jamii mnaohongwa na huyo mamaUmeandika kimbeya sana hakuna facts hata moja, how can kukosa hewa kuuwe mmoja tu kati ya wengi? Au umefukuzwa kazi,?