DOKEZO Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Una dondoo zozote kuhusu tuhuma hizi mkuu hata PM waweza kuja
Huyu mama alikuwa anaishi Bukoba alikuwa ana kituo cha watoto yatima akakimbia kwa kashfa za utapeli akahamia Dar maeneo ya magomeni,
 
Umeandika kimbeya sana hakuna facts hata moja, how can kukosa hewa kuuwe mmoja tu kati ya wengi? Au umefukuzwa kazi,?
Unafikiri hayo majini mnayofuga yatawasudia kuchomoka kwenye vyombo vya dola?
 
Huyu mama tumripoti miezi kadhaa iliyopita kuendesha kituo cha watoto yatima kichokuwa na viwango,amekumbwa na tuhuma za kutaka kudhulumu nyumba aliyopanga hapo sinza madukani
 
Huyo mama ameshafukuzwa huko Sinza kwani alitaka kutapeli nyumba aliyopanga amehamia mikocheni,nitapeli wa kimataifa anatumia watoto na dini ya kiislam kujipatia pesa
 
Mikocheni ya sehemu gani mkuu, nahitaji kupeleka mtoto
Huyo mama ameshafukuzwa huko Sinza kwani alitaka kutapeli nyumba aliyopanga amehamia mikocheni,nitapeli wa kimataifa anatumia watoto na dini ya kiislam kujipatia pesa
 
Huyo mama ameshafukuzwa huko Sinza kwani alitaka kutapeli nyumba aliyopanga amehamia mikocheni,nitapeli wa kimataifa anatumia watoto na dini ya kiislam kujipatia pesa

Tuhuma zako haziko consistent, ulianza na mazingira duni na kujaza watoto kupita uwezo, ukaja na kifo cha mtoto, kisha sio raia, halafu hongo kwa maafisa ustawi na sasa kutaka kudhulumu nyumba. Nadhani kuna kitu kinaendelea baina yenu nje ya tuhuma hizi.
 
Huyo mama ni tapeli alikuwa amepanga magomeni akafukuzwa na mwenye nyumba then akahaamia sinza nako wamemfukuza alitaka kutapeli nyumba
 
Nimewahi kupeleka msaada hapo. Nakumbuka unashuka Sinza Madukani. Unaenda uelekeo wa Namnani Hotel kama sijakosea.

Sidhani shutuma za uraia kama ni za kweli. Watanzania mnaogopa sana wageni.
Keshafukuzwa hapo Sinza huyo mama mfuga mjini,majirani tutapumua alikuwa kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…