Kama ni jumatatu hadi Ijumaa za siku za likizo wapumzike pia.. Maana likizo zenyewe wanapewa fupi ni muhimu Watumie kupumzika lakini in a controlled environment. Sio kwa kuwa wapo likizo basi ni TV na games sijui simu kuanzia mawio hadi machweo. Lazima kuwe na utaratibu mzuri nyumbani wa shughuli za watoto.Kuna mtu anakuambia jumatatu hadi jumapili za mwezi mzima akae na watoto nyumbani eti wanapumzika huo ni ujinga
Sijaelewa,aliyetoa agizo ana shida gani?jibu rahisi mnaulizwa huyo aliyetoa agizo mtoto wake anasoma humo!!huku kitaa watoto wa maskini hawana wa kuwasemea wamebaki yatima kwenye nchi Yao kama wakimbizi maana angalia hao watawala wangekuwa watoto wao wanasoma hizi shule za ufagio na kidumu elimu yetu ingepewa uthamani Sasa wanasiasa wametufanya mazombi ambayo kila watu wenye akili wakiwaamsha bado yanarudi kule kule,yaani kutwa nzima mtu haiwezi kuwaza hatima ya mtoto wake Kwa kesho yake ,yaani Simba Yanga .
Unaongea kitu usichokielewa,mtoto wa darasa la nne anafanya mtihani November leo June unataka abaki shuleni kufanya nini?Mnasaidiwa bado mnaleta ngebe, yakifeli lawama kwa walimu tena.
Kama ulikua unataka kuonana na mwanao ungempeleka day schools. Nyie kina dady mna lawama sana kisa hujamuona junya miezi 2 tu ushaanzisha uzi aisee.
Acha dogo apige kitabu, form four anarudi home kufanya nini, mda wa kumpuzika anao wa kutosha. November hapo anamaliza mtakaa nae hadi mumchoke. Form two mapemaa october anarudi nyumbani.
Std 7 ndo mwezi wa 9 keshokutwa hapo anarudi, std 4 mwezi november tu hapo anarudi muendelee kucheza nae.
Na hizo siku anazokua shule anakua na muda mrefu sana wa kupumzika, huwa wanasoma kwa muda mfupi na kuna wiki 1 au 2 za mwisho kukingana na utaratibu wa shule husika huwa nao wanafunga wakapumzike.
Matoto yenu hayana akili ndio maana yanakazaniwa walau yaelewe hata huo mwezi pia. Wakiachwa wanarudi hawana kitu kabisa kichwani. Huko nyumbani hayasomi yanacheza game na kupigwa pipe hovyo.
Labda kama umesoma miaka ya tisini huko hivyo unaweza kusema mwanafunzi akili inakua imechoka kwa hizo siku kadhaa.Unaongea kitu usichokielewa,mtoto wa darasa la nne anafanya mtihani November leo June unataka abaki shuleni kufanya nini?
Suala la kusema akimaliza atakuwa na muda mrefu nalo unaongea bila kufikiria,huyu ameshasoma mfululizo miezi mingi kichwa kinahitaji mapumziko ili kiweje kurudi katika ubora wewe unataka umjaze tena vitu,kitaalamu haikubaliki hio
Ni sawa ila hata kubadili mazingira ni vizuri,wanapaswa kuondoka maeneo ya shuleLabda kama umesoma miaka ya tisini huko hivyo unaweza kusema mwanafunzi akili inakua imechoka kwa hizo siku kadhaa.
Ila kwa tuliosoma miaka ya 2000's hilo jambo sio la kushangaza.
Na pia mtoto hasomi kama alivokua anasoma kipindi cha kawaida, mara nyingi masomo yanaisha saa 6 au 7 mchana kukiwa na kipindi kirefu cha mapumziko.
Mliosoma hiyo miaka ya 2000 ndio shida ilipoanziaLabda kama umesoma miaka ya tisini huko hivyo unaweza kusema mwanafunzi akili inakua imechoka kwa hizo siku kadhaa.
Ila kwa tuliosoma miaka ya 2000's hilo jambo sio la kushangaza.
Na pia mtoto hasomi kama alivokua anasoma kipindi cha kawaida, mara nyingi masomo yanaisha saa 6 au 7 mchana kukiwa na kipindi kirefu cha mapumziko.
Nyie wa miaka ya 90 mmelifaidisha nini taifa kama sio uchawa tu kwa serikali iliyo madarakani.Mliosoma hiyo miaka ya 2000 ndio shida ilipoanzia
Shule ndioi zilianza kukaririsha watoto na kuondoa likizo
Wamekaririshwa tu notes darasani hakuna skills zozote wamepata
Hata kupika tu watoto wetu hawajui kisa kukaa shule
Hawasomi mwezi mzima wiki za mwisho wanafunga pia.Ni sawa ila hata kubadili mazingira ni vizuri,wanapaswa kuondoka maeneo ya shule
Ni kweli wao wanasema tumekubaliana wakati si kweli,wao wanakuandikia tu ki note kwamba tunaomba uchangie,kwanini sasa wasimalizie muhula kwa gharama ya ada niliyolipa?nyongeza ya nini wakati mimi nililipa ada ili wao wamalize muhula?Huu ni mtaji hasa kwa shule binafsi, kama kweli wana nia ya kumaliza mtaala kwann wawe wanaongeza gharama kinyume na ada au wamalize ndan ya mda uliopagwa. Kukomesha huu ubadhirifu au wizi au unyonyaji vyovyote utakavyoitwa, ni kutunga sheria ya kuzuia hili, na sio matamko kila siku, huku shule sikijificha kwa kusema wazazi wamekubali, wazaz hawakubali ila unakuwa kama unalazimishwa tu
We huelewi hata unachokizungumza,unadhani kwa hela pekee unaweza kumjenga mtoto?tunazungumzia haki ya mtoto kupumzika na kujifunza vitu nje ya darasani,we anasema kupumzika ni kaburini,mbona kazini unachukua likizo kwanini usiende kupumzika kaburini sasa?kwan hapa shda ni kuenda shule likizo ama ada ongezi ya kusomea likizo
hii kimsingi nahisi ni ada kama ela yko ni ya mawazo
mpeleke government skul kijana wko elimu ni bure tuh na mtoto atafunga skul kulngana na mwngozo wa serkal....!!
unless otherwise tafuta mwlmu amfunze mwanao nyumban
anaeza kuw anasoma sku 3 tu za wki nyngne analalia
mgongo apumzke vzur.
kwnza wazaz wng vijana wao wakrud nyumban ndy wnawahangaikia wasome tuishen hapo anaend kupmzka wp ....
ukiona uhangaiki na elimu ya mwnak ujue unabeti na hali hii ndy inafnya watot wng wanaosoma serkalni kufeli wazazi wanachangia asilimia 35 ya hilo
kupumzka n muhimu ila mtot hata akipumzka wki mbil sio haba sana dunian hatujaja kupumzka zaidi sna mapumzko yamillele ni kaburini....
nitoe RAI kama unahela za mawazo mwnao mwache asome
government on your own risk ila tu jitahd kumfatilia na
matuishen ya likizo sivyo unaanza mechi aggregate ya 0-1
kuishia form 4 n swala la chap unless dogo ajielew mwnyw.... hii ni kwa risk takers
tusiopenda risk wengne tuztafute hela tuwalipie watoto private skul na ada ongez pia fresh tu tulpe si kw elimu ya vijana wetu hapa winning probabilty ni 75%
TUACHE KULALAMIKUA UJINGA
HUNA HELA PELEKA MWANAO SERKALINI FULL STOP
SIO KILA KTU SERKAL IINGILIE KATI UPUUZ HUU
ITAKUJA WATU BADAE WAJE WAIOMBE SERKAL IPUNGUZE NA ADA ZA FEZA WATOTO WAO WASOME...
Huna pesa tafuta njia nyngne mtot atoboe punguza lawama.... weng watoto wa maskni wametoboa kw matuisheni mitaani na mabro mashulen FULL STOP