Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wazazi mfanye maandamano ya amani kupinga hili....make kulalamika tu hapa jf haitoshi jtatu watoto wapo mzigoni kama kawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu Maxence Melo na team yenu jitahidini huu ujumbe ufike sehemu husikaKwa muda huu wakati tukielekea kufunga shule niwaombe JamiiForums kwakuwa wao ni mtandao mkubwa kwa hapa Tanzania wafanye mawasiliano na wahusika huko wizarani ili kuondoa hizi taharuki!!
Mtoto hapaswi 'kufaulishwa'anapaswa afaulu mwenyewe,huko kufaulishwa ndio mnawakaririsha mitihani iliyopita kama sio kuwapa majibu ya mitihaniKawaida ndio mikakati hiyoo,Unafikirii kufaulisha watoto ni mchezo,inahitaji juhudi.Mtu unalalamika ukute mtoto wako mwenyewe tia majimajii kwenye taaluma......so liachwe liwape zero
Mkuu inshu ni simple tu zuia wa kwako wa kwetu acha waende shuleNaomba mwenye namba ya waziri wa Elimu au email aweke hapa
Mnachelewa sasa make shule zishafungwaUjumbe utawafikia tu,usipofika itabidi tuandamane kwakweli
Ni simple pia,acha nipeleke ujumbe serikali izuie halafu wakwako umwambie aendelee kupatiwa tuitionMkuu inshu ni simple tu zuia wa kwako wa kwetu acha waende shule
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mwaka jana mliishia kulalamika piaZinafungwa kesho ila hata kama zinafungwa tamko likitolewa wiki hii wataachiwa tu
Mtoto wangu mie hua haendi shule jmosi (anapumzika) wengine wanaotaka wao waende huwa wanaenda, haendi shule kipindi hiki cha likizo (anapumzika pia) mwakani akiwa darasa la mtihani nitacheki...Ngoja tukomae nao,we huna mtoto wa shule?
Fatilia international school zote huwezi kuta watoto wanasoma siku nzima au wana remiduals, tuitionNi kweli kabisa,ndio maana hatupati suluhisho la matatizo yetu
Wengine wanatoka saa 8.30 mchana wengine saa 9.30 mchana ijumaa wengine wanatoka saa 6.30 mchana wengine wanatoka 9.30 wengine wanafunga likizo wengine hawafungi yaana mambo hayaeleweki kila wilaya au mkoa na wanavyo jisikiaHili swala la elimu na mitaala limekuwa kama kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajiamulia atakavyo.
Kuna baadhi ya shule kama Diamond na Olympio watoto wanaenda shule mpaka j2.
Na huko wakianza hayo mambo unamhamisha tena?Shule zipo nyingi Hamisha mtoto wako peleka ambapo hamna package wala homework.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule za sekondari form 2 &4 hawafungi nakoKwani mtoto wako akibaki nyumbani anafukuzwa shule?
Mpeleke shule za serikali ambazo hawabaki.
Aisee,huku kwetu ndio tunajaziwa masomo lukuki asubuhi mpaka jioniFatilia international school zote huwezi kuta watoto wanasoma siku nzima au wana remiduals, tuition
International zinajali sana makuzi ya mtoto ikiwemo michezo ie kuogelea, kukimbia,mpira, coloring, cooking, programming, music etc.
Kule mtoto huingia darasani Saa 1 saa 7 kasha toka
Mimi wakwangu apewe tuu package.Na huko wakianza hayo mambo unamhamisha tena?