DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wazazi mfanye maandamano ya amani kupinga hili....make kulalamika tu hapa jf haitoshi jtatu watoto wapo mzigoni kama kawa
 
Kawaida ndio mikakati hiyoo,Unafikirii kufaulisha watoto ni mchezo,inahitaji juhudi.Mtu unalalamika ukute mtoto wako mwenyewe tia majimajii kwenye taaluma......so liachwe liwape zero
Mtoto hapaswi 'kufaulishwa'anapaswa afaulu mwenyewe,huko kufaulishwa ndio mnawakaririsha mitihani iliyopita kama sio kuwapa majibu ya mitihani
 
Wazazi mfanye maandamano ya amani kupinga hili....make kulalamika tu hapa jf haitoshi jtatu watoto wapo mzigoni kama kawa
Ujumbe utawafikia tu,usipofika itabidi tuandamane kwakweli
 
Ni kweli kabisa,ndio maana hatupati suluhisho la matatizo yetu
Fatilia international school zote huwezi kuta watoto wanasoma siku nzima au wana remiduals, tuition

International zinajali sana makuzi ya mtoto ikiwemo michezo ie kuogelea, kukimbia,mpira, coloring, cooking, programming, music etc.

Kule mtoto huingia darasani Saa 1 saa 7 kasha toka
 
Hili swala la elimu na mitaala limekuwa kama kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajiamulia atakavyo.

Kuna baadhi ya shule kama Diamond na Olympio watoto wanaenda shule mpaka j2.
Wengine wanatoka saa 8.30 mchana wengine saa 9.30 mchana ijumaa wengine wanatoka saa 6.30 mchana wengine wanatoka 9.30 wengine wanafunga likizo wengine hawafungi yaana mambo hayaeleweki kila wilaya au mkoa na wanavyo jisikia
 
Mtoto wangu mie hua haendi shule jmosi (anapumzika) wengine wanaotaka wao waende huwa wanaenda, haendi shule kipindi hiki cha likizo (anapumzika pia) mwakani akiwa darasa la mtihani nitacheki...
Aisee,Vizuri
 
Fatilia international school zote huwezi kuta watoto wanasoma siku nzima au wana remiduals, tuition

International zinajali sana makuzi ya mtoto ikiwemo michezo ie kuogelea, kukimbia,mpira, coloring, cooking, programming, music etc.

Kule mtoto huingia darasani Saa 1 saa 7 kasha toka
Aisee,huku kwetu ndio tunajaziwa masomo lukuki asubuhi mpaka jioni
 
Back
Top Bottom