DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sisi tulikuwa shule ratiba zinaisha saa saba mchana haooo kengele ikilia nduki home kuwahi kiporo xha wali wa jana. Nikishafika ni kubadili nguo, kula kufua uniform halafu taratibu naingia kitaa kutafuta masela zangu tuendelee ma ratiba zetu na majukumu ya utoto.

Yaani ilikuwa ni unyama fulani hivi wa raha.
 
Ndo maana panakuwa na utofauti kati ya wanafunzi wa Gov na Priv, sababu Priv lazima ajue kusoma na kuandika ndo aende Class One.
Gov si lazima ndo maana kuna mtu anafika la 7 hajui soma na kuandika
 
Najiuliza nini kimeongezeka katika mitaala. Kwann watoto wanakuwa na mambo mengi kupita umri wao?

Mtoto anaamka asubuhi ya saa kumi na moja halafu anarudi saa kumi na mbili nyumbani huyu mtoto hajatimiza miaka hata 10,hivi hapa jamani wanajamii ni tumelogwa ama tunatafuta laana za MUNGU?

Kuna mtoto ambaye anakuzwa na mfumo huu atakuja kuwa mwanajamii anayependa maisha ya kifamilia na kujenga ustawi kweli?!
 
Ni njia ya kupiga pesa, watoto wanakaririshwa hakuba kupumzika, na ndio maana nasema siku mitihani ikifutwa ndio tutaanza kuiona elimu bora
Hata mimi kwa Bongo ikipendekezwa mitihani kufutwa nitaunga mkono. Tutafute njia nyingine ya kupima watahiniwa. Au kama watafanya mitihani basi structure na contents zake zibadilishwe kabisa. Tupime wanafunzi kutafakari na siyo wanavyojua kukariri.
 
Ttzo sio wenye shule ttzo ni wazazi
Wazazi weng hawajielew na hawajui kuoji wanaona wenye mashule km miungu mtu
Sababu ayo mambo yote huwa yanafanyika kwenye vikao vya wazazi na shule na wazazi huwa wanakubali wenyewe na ww mzazi mmoja ukisimama kupinga unaonekana km vle ujui kitu hamnazo

Tena izi shule za kidini ndo znaongoza kwa ujinga uwo karo kubwa af ikifka likizo watt wa dlasa la 4/7 wamasema wahamie shule wakae boarding ila wapate mda wa kusoma na kujisomea af tena ikifka likizo wanatwambia tutoe pesa za kuwaudumia watoto wetu wanaobakia mashulen na bado mazazi majinga yanakubali na yanatoa pesa ww mmja ukioji ttzo na mtt wako anaweza akatengwa shulen

Mkitaka kukomesha hii tabia anzeni na wazazi ndo wanakubali ujanga na kuusapoti upuuzi huu wazazi wengi ni wapuuzi na wajinga na wengne bado wanatabia ya kujipendekeza yan karo anatoa ila bado anajipendekeza kwa wakuu wa shule na waalimu

Asilimia 80 % ya wazazi ni wajinga sana x10000
Kabisa ni sawa na kulaumu pombe ina madhara kisha kuwalaumu kiwanda cha kutengeneza beer badala ya watumiaji wa bia.
 
Wewe ndiyo unatakiwa kufikiri kabla hujaropokwa,tabaka tayari lipo hakuna kificho.
Watoto wa viongozi wanasoma shule kubwa na zenye mitaala ya Cambrige,unataka watu hao wafikirie maisha ya mtoto wako anayesoma shule ya milioni moja?
Solution ni moja,muache mtoto wako nyumbani ucheze nae game na kuangalia tamthilia,kwani umelazimishwa aende shule? Asipolipia anafukuzwa?
Acha malalamiko kaa na mwanao nyumbani subiri viongozi wakupangie mwanao asome vipi
Mbona umecomment kwa kutoheshimu mawazo ya mwenzako halafu kama unamjibu kwa dharau na chuki debe nzima. Punguza hasira na jazba huu ni mjadala wa kijamii sio mjadala wa mtu binafsi.
 
Ubaya wanaharibu future ya watoto kwa kuwakaririsha kuwa elimu ipo kwenye madaftari kumbe ipo huku nje. Matokeo yake watoto wanamaliza university na first class wanaanza kuzunguka mtaani na bahasha mpaka viatu vinaenda upande.
Mhe. Waziri tunaomba katazo lako kwenye kuhakikisha watoto wanaweza kubalance elimu ya darasani na ya kwenye mazingira anayoishi
Hoja muhimu sana hii.
 
Kuna kijana wangu mmoja yuko la saba, hivi karibuni nikajulishwa hawatarudi mpaka tareh.23; mi nimeona ni vizuri tu kwa faida yake, kwa sababu muda uliobaki ni mfupi sana kwa mtihani, akija nyumbani atachanganya mafaili au kupoteza ile mudi ya kufanya mtihani.

Mwanajeshi ili ashinde vitani, inabidi abaki kambini apate mafunzo, akirudi kwa mkewe alafu kesho aende vitani atashindwa.

Kwa mtazamo wangu mi naona ni wazo jema; hiyo michango midogo isikuumize, bali unawekeza kwa mwanao. Hutaki, muache awe bogus.​
Mzaz mvivu sana wewe yan unaona raha kujiachia kwenye makochi hapo mwanao huna hata ham nae.... Ngoja arudi ukute amebadili jinsia
 
Hii ni akili kubwa sana, ulipaswa kuwa waziri wa elimu, decition making zako zingeleta manufaa kwa taifa.
Mnaona mambo rahis eeeh hio elimu yakukariri tu mashule hayana vitabu nachaki leo uanzishe kusoma kwaprojector, demonstration, laboratory.... Nchi kama inashindwa kusambaza maji mkoa wamwanza wenye ziwa utaweza hayo
 
Nakubaliana na wewe,kuna wazazi wana matatizo sana,kuna kipindi tulilalamika mabasi ya shule yaongezwe ili watoto wawahi kurudi nyumbani,kuna wazazi wakasema eti wakiwahi wanasumbua nyumbani,wengine wakasema sisi wakiwahi hatupo nyumbani

Kwahio kuna wazazi wanaona watoto kama usumbufu
Sijui waliwatafuta wa kazi gani. Yaani kuna mtu anapata watoto ili jamii isimuulize kuwa kwann hana mtoto. Mzazi wa kweli utamjua kwa namna analea mtoto wake.

Wengi siku hizi ni incubators sio walezi wa watoto kabisa. Sijui ni shida kula hawa kuku wa kisasa.
 
Sisi tulikuwa shule ratiba zinaisha saa saba mchana haooo kengele ikilia nduki home kuwahi kiporo xha wali wa jana. Nikishafika ni kubadili nguo, kula kufua uniform halafu taratibu naingia kitaa kutafuta masela zangu tuendelee ma ratiba zetu na majukumu ya utoto.

Yaani ilikuwa ni unyama fulani hivi wa raha.
Na hio ndio ilikuwa inajenga afya na akili,kumudu mazingira pamoja na kujenga marafiki na ushirikiano.

Sasahivi mtoto ukumuuliza mtoto wa nyumba ya jirani hamjui
 
Ndo maana panakuwa na utofauti kati ya wanafunzi wa Gov na Priv, sababu Priv lazima ajue kusoma na kuandika ndo aende Class One.
Gov si lazima ndo maana kuna mtu anafika la 7 hajui soma na kuandika
Kama itatekelezwa ipasavyo itasaidia
 
Najiuliza nini kimeongezeka katika mitaala. Kwann watoto wanakuwa na mambo mengi kupita umri wao?

Mtoto anaamka asubuhi ya saa kumi na moja halafu anarudi saa kumi na mbili nyumbani huyu mtoto hajatimiza miaka hata 10,hivi hapa jamani wanajamii ni tumelogwa ama tunatafuta laana za MUNGU?

Kuna mtoto ambaye anakuzwa na mfumo huu atakuja kuwa mwanajamii anayependa maisha ya kifamilia na kujenga ustawi kweli?!
Mambo mengi,madaftari makubwa wakati sisi kutumia counter books ilikuwa secondary sikihizi la nne amejaza begi limejaa makaunta
 
Sijui waliwatafuta wa kazi gani. Yaani kuna mtu anapata watoto ili jamii isimuulize kuwa kwann hana mtoto. Mzazi wa kweli utamjua kwa namna analea mtoto wake.

Wengi siku hizi ni incubators sio walezi wa watoto kabisa. Sijui ni shida kula hawa kuku wa kisasa.
Anataka awe na mtoto wakati huohuo aishi kama hana mtoto,inashangaza
 
Mkuu usijali kushambuliwa,humu kuna wajinga wapo wanaishi magetoni wala hawafikirii kuoa wala kuolewa,wao wakiamka na kula na kulala inatosha ndio maisha

Wengine kataa ndoa,wengine ma- wimpy kids sasa lini atawaza kuhusu hatma ya watoto?
Bonge la point
 
Pengine wanataka watoto wapate muda mwingi zaidi wa kufundishwa mapenzi ya..
Kwakweli hata mimi naanza kuhisi. Mtu mwenye akili timamu hiwezi lazimisha kukaa na watoto wa watu hadi kipindi cha likizo wakati wanatakiwa muda huo kutumia na familia zao.
 
Back
Top Bottom