DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

DOKEZO Waziri wa Elimu, huu mtindo wa Kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo ni Sahihi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi issue ni gharama za ziada au watoto kutokupata muda wa kukaa nyumbani bila kusoma ??? Nasita kusema wanapumzika kwasababu maana ya kupumzika ni pana sana.
 
Hivi issue ni gharama za ziada au watoto kutokupata muda wa kukaa nyumbani bila kusoma ??? Nasita kusema wanapumzika kwasababu maana ya kupumzika ni pana sana.
Zote mbili ni shida,kumaliza mitaala ni kazi ya walimu na ada inakuwa imelipiwa sasa kwanini mzazi adaiwe gharama ya ziada?

Mtoto kupumzika pia ni haki yake ya msingi kwanini anyimwe likizo?mtoto aachwe sio tu akapumzike bali ashiriki katika shughuli nyingine za kijamii nje ya shule kama kazi za nyumbani,kuwaona wazazi,kufahamiana na ndugu nk kama sehemu ya kujifunza pia.
 
😂😂😂😂😂 maskini bhana kwahyo unataka waziri ambae mwanae anasoma IS Akupangie ww utaratibu kwa mwanao anaesoma st. Kayumba😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskini bhana kwahyo unataka waziri ambae mwanae anasoma IS Akupangie ww utaratibu kwa mwanao anaesoma st. Kayumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huo Uwaziri alipewa kuhudumia IS?
 
Pamoja na tangazo a katazo la waziri watoto wasiendelee na masomo,nimepata wilaya ya mkuranga Leo shule za kimanzichana shule ya msingi Ile na nyingine,Iko barabarani sijui kiindambini nimekutabwanafunzi wanaendelea na masomo,nadhani huku hawajamuelewa waziri mkenda.
 
Kumbe hawa mawaziri wanasoma huku JF,hatare
 
Pamoja na tangazo a katazo la waziri watoto wasiendelee na masomo,nimepata wilaya ya mkuranga Leo shule za kimanzichana shule ya msingi Ile na nyingine,Iko barabarani sijui kiindambini nimekutabwanafunzi wanaendelea na masomo,nadhani huku hawajamuelewa waziri mkenda.
Kama ni shule ya serikali kuna utaratibu walipewa nadhani
 
Sasa subiri aje ahudumie wanao wa shule za kata utasugua sana hawana muda na watoto wenu wao wapo kivyao na watoto wao wanasoma viziri
Sihitaji kuhudumiwa,nilitoa rai na tayari waziri ametekeleza,hakuna cha kusubiri
 
Sihitaji kuhudumiwa,nilitoa rai na tayari waziri ametekeleza,hakuna cha kusubiri
Ametekeleza kwa tamko... Haya matamko sawa tu na yaliyo kwenye kanga ambazo wanawake wanajifunga kiunoni na maandishi kusomeka yakiwa yamejipanga sawasawa kati ya mtikisiko wa zegembe!! Wanafunzi wapo shuleni kama kawaida !!!
 
Tanzania ni moja kati ya nchi zanazo shangaza duniani!! Fikiria mtu anaamka TU anasema shule hazitafungwa ( Yani tafsiri yake hakuna mwanafunzi kuwa na likizo) Halafu watu wanakaa kimya!!
 
kwan hapa shda ni kuenda shule likizo ama ada ongezi ya kusomea likizo

hii kimsingi nahisi ni ada kama ela yko ni ya mawazo

mpeleke government skul kijana wko elimu ni bure tuh na mtoto atafunga skul kulngana na mwngozo wa serkal....!!


unless otherwise tafuta mwlmu amfunze mwanao nyumban

anaeza kuw anasoma sku 3 tu za wki nyngne analalia

mgongo apumzke vzur.

kwnza wazaz wng vijana wao wakrud nyumban ndy wnawahangaikia wasome tuishen hapo anaend kupmzka wp ....

ukiona uhangaiki na elimu ya mwnak ujue unabeti na hali hii ndy inafnya watot wng wanaosoma serkalni kufeli wazazi wanachangia asilimia 35 ya hilo

kupumzka n muhimu ila mtot hata akipumzka wki mbil sio haba sana dunian hatujaja kupumzka zaidi sna mapumzko yamillele ni kaburini....

nitoe RAI kama unahela za mawazo mwnao mwache asome

government on your own risk ila tu jitahd kumfatilia na

matuishen ya likizo sivyo unaanza mechi aggregate ya 0-1

kuishia form 4 n swala la chap unless dogo ajielew mwnyw.... hii ni kwa risk takers

tusiopenda risk wengne tuztafute hela tuwalipie watoto private skul na ada ongez pia fresh tu tulpe si kw elimu ya vijana wetu hapa winning probabilty ni 75%

TUACHE KULALAMIKUA UJINGA
HUNA HELA PELEKA MWANAO SERKALINI FULL STOP

SIO KILA KTU SERKAL IINGILIE KATI UPUUZ HUU

ITAKUJA WATU BADAE WAJE WAIOMBE SERKAL IPUNGUZE NA ADA ZA FEZA WATOTO WAO WASOME...

Huna pesa tafuta njia nyngne mtot atoboe punguza lawama.... weng watoto wa maskni wametoboa kw matuisheni mitaani na mabro mashulen FULL STOP
Sasa imeshaingilia watoto wanahaki ya kupumzika!! Kama ulifikiri utapiga pesa pole ndugu yangu!! Tafuta kazi nyingine!!
 
Ni wakati wa kubadili mfumo wa elimu, ikiwezekana siku za kwenda shule ziwe nne badala ya tano kwa wiki.

Ijumaa iwe ni siku ya michezo tu, pia masomo yawe kwa njia ya vitendo zaidi badala ya rote learning ambayo inadumaza watoto.
Nakazia
 
Back
Top Bottom