Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote mbili ni shida,kumaliza mitaala ni kazi ya walimu na ada inakuwa imelipiwa sasa kwanini mzazi adaiwe gharama ya ziada?Hivi issue ni gharama za ziada au watoto kutokupata muda wa kukaa nyumbani bila kusoma ??? Nasita kusema wanapumzika kwasababu maana ya kupumzika ni pana sana.
Hizo ni tatizo na ni vimeo ila nijuavyo huwa wanafunga two weeks.Kuna shule hawafungi kabisa mkuu
Kwani huo Uwaziri alipewa kuhudumia IS?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskini bhana kwahyo unataka waziri ambae mwanae anasoma IS Akupangie ww utaratibu kwa mwanao anaesoma st. Kayumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huo Uwaziri alipewa kuhudumia IS?
Kama ni shule ya serikali kuna utaratibu walipewa nadhaniPamoja na tangazo a katazo la waziri watoto wasiendelee na masomo,nimepata wilaya ya mkuranga Leo shule za kimanzichana shule ya msingi Ile na nyingine,Iko barabarani sijui kiindambini nimekutabwanafunzi wanaendelea na masomo,nadhani huku hawajamuelewa waziri mkenda.
Duh tunapambwa kwa mambo mepesi sanaSihitaji kuhudumiwa,nilitoa rai na tayari waziri ametekeleza,hakuna cha kusubiri
Ametekeleza kwa tamko... Haya matamko sawa tu na yaliyo kwenye kanga ambazo wanawake wanajifunga kiunoni na maandishi kusomeka yakiwa yamejipanga sawasawa kati ya mtikisiko wa zegembe!! Wanafunzi wapo shuleni kama kawaida !!!Sihitaji kuhudumiwa,nilitoa rai na tayari waziri ametekeleza,hakuna cha kusubiri
Sasa imeshaingilia watoto wanahaki ya kupumzika!! Kama ulifikiri utapiga pesa pole ndugu yangu!! Tafuta kazi nyingine!!kwan hapa shda ni kuenda shule likizo ama ada ongezi ya kusomea likizo
hii kimsingi nahisi ni ada kama ela yko ni ya mawazo
mpeleke government skul kijana wko elimu ni bure tuh na mtoto atafunga skul kulngana na mwngozo wa serkal....!!
unless otherwise tafuta mwlmu amfunze mwanao nyumban
anaeza kuw anasoma sku 3 tu za wki nyngne analalia
mgongo apumzke vzur.
kwnza wazaz wng vijana wao wakrud nyumban ndy wnawahangaikia wasome tuishen hapo anaend kupmzka wp ....
ukiona uhangaiki na elimu ya mwnak ujue unabeti na hali hii ndy inafnya watot wng wanaosoma serkalni kufeli wazazi wanachangia asilimia 35 ya hilo
kupumzka n muhimu ila mtot hata akipumzka wki mbil sio haba sana dunian hatujaja kupumzka zaidi sna mapumzko yamillele ni kaburini....
nitoe RAI kama unahela za mawazo mwnao mwache asome
government on your own risk ila tu jitahd kumfatilia na
matuishen ya likizo sivyo unaanza mechi aggregate ya 0-1
kuishia form 4 n swala la chap unless dogo ajielew mwnyw.... hii ni kwa risk takers
tusiopenda risk wengne tuztafute hela tuwalipie watoto private skul na ada ongez pia fresh tu tulpe si kw elimu ya vijana wetu hapa winning probabilty ni 75%
TUACHE KULALAMIKUA UJINGA
HUNA HELA PELEKA MWANAO SERKALINI FULL STOP
SIO KILA KTU SERKAL IINGILIE KATI UPUUZ HUU
ITAKUJA WATU BADAE WAJE WAIOMBE SERKAL IPUNGUZE NA ADA ZA FEZA WATOTO WAO WASOME...
Huna pesa tafuta njia nyngne mtot atoboe punguza lawama.... weng watoto wa maskni wametoboa kw matuisheni mitaani na mabro mashulen FULL STOP
NakaziaNi wakati wa kubadili mfumo wa elimu, ikiwezekana siku za kwenda shule ziwe nne badala ya tano kwa wiki.
Ijumaa iwe ni siku ya michezo tu, pia masomo yawe kwa njia ya vitendo zaidi badala ya rote learning ambayo inadumaza watoto.