Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

Mkuu huyu asikusumbue. Inawezekana yeye anajua akimwaga upupu wake hapa Jamvini ndiyo atapata maslahi yake. Acha aanzishe thread kutwa mara tatu awe anarusha lawama kwa watu wasiohusika inawezekana akipiga dozi hiyo kwa siku saba ataona ... mara pwaaaa, maslahi yake yamepanda
 
Huyu akija kwenye shule yangu atakuwa mfagizi.
 
Mkuu hiyo ni lapse of the tongue tu. Mi nimesoma english medium wala hunikamati kwa kingereza. Mind your own bussiness
Kama unajua kweli kiingereza hebu ibadilishe hiyo stori yako iwe kwa kiingereza.

Unaweza ujue kiingereza vizuri halafu uishie kuwa mwalimu wa chekechea kweli?
 
kwa kweli huyu akili zake haziko sawa
 
Mkuu hiyo ni lapse of the tongue tu. Mi nimesoma english medium wala hunikamati kwa kingereza. Mind your own bussiness
Lapse of the tongue kwenye kuandika! Muungwana akivuliwa nguo huchutama! ningekubali lapse of the tongue kama ulikuwa unaongea sio kuandika otherwise utu convince kuwa ulikuwa unatumia voice transcriber kuandika, lakini kama ume type tu hapana sio lapse of the tongue. Kingine kusoma so called English Medium School sio guarantee kuwa wewe unafahamu vizuri lugha ya kiingereza, maana huko English Medium school ni walimu kama wewe mnasema lapse of the tongue kwenye kuandika, ndio wanaofundisha huko! Pia si sawa kumtaka afuatilia mambo yake aachane na wewe, kama ulitaka hivyo usingeleta hii hoja hapa JF, the moment you brought the subject to JF then it became EVERYBODY'S BUSINESS!
 
Kama unajua kweli kiingereza hebu ibadilishe hiyo stori yako iwe kwa kiingereza.

Unaweza ujue kiingereza vizuri halafu uishie kuwa mwalimu wa chekechea kweli?
Ok. Look! The issue is the assaults of the so called owners of equities in favour of their liquid investments to dignify themselves and impose unaaceptable duties which are incapacitated on employees. Actually i want you to use youur audible senses to curb this hollible situation which dwimdles and erodes our moralities.

The situation is alarming which therefore needs people like u to entervine by letting the minister concerned to inhibit this impeddment.

It starts with you!!
 
Uozo ni mwingi sana huko, mabadiliko makubwa yanahitajika.
 
wabunge nao wanalalamika MISHAHARA midogo, spika na YEYE ajiuzulu?
 
Tatizo la sasa mtu e nafikiri pia wahitimu ni wengi, na kazi ni chache ni kama mambo ya ' damand &supply' tu, wapo wengi wanasubiria pembeni ndio hali halisi hiyo ndugu yangu.
Tz ni moja kati ya nchi chqche sana duniani zilizobarikiwa kuwa na wananchi wanaokubali kunyanywa na waninmisha kichwa chini kama kondoo. Magufuli alivunja kqtibq kablq hata ya siku mia moja za utawala wake watz kimya. Watu wametekwa na uuwawa na kupotea watu kimyaa. Hakuna kupandishwa madaraja wala mishahara watu kimya. Kila jambo walilofanyiwa na yele mzee na serikale yake wao kimyaaa watu walikuwa wanakulanmlo mmoja au nusu mlo kwa siku na akasema mikoa itakayokumbwa na njaa watu wajiandae kufa kwenye maafa kama mafuriko na matetemeko alisema hasaidii lolote kwa kuwa siyo yeye amesababisha watu kimyaaaa. Ukiwaambia suluhu ya yote haya iko kwenye katiba mpya haya tuungane kuidai watu kimyaaa. Sasa kama hii siyo laana basi ni kipaji kabisa. Hawana habari kuwa utawala huwa uko mikononi mwa wananchi wenyewe wakiambiwa andamaneni muone wote kimyaaaa hadi mu ajifie zake bado tu kiya halfu mnsema Mungu yupobatatusidia. Mtangoja sana
 
Bolded...are the words incorrectly spelt.
In italics....not grammatically correct

Halafu mkilipwa elfu 50 kwa mwezi mnalalamika.
 
Mkuu soma kiingereza chake kwenye komenti namba 50.
 
These a
Bolded...are the words incorrectly spelt.
In italics....not grammatically correct

Halafu mkilipwa elfu 50 kwa mwezi mnalalamika.
These are keyboard errors not huma errors. See the intessions.
 
Miaka ile tunakua walimu waliheshishimika sana na ndio imapaswa kuwa hawa wamechangia mafanikio yetu kwa kiasi kikubwa...

Walipoanza kutumika kubariki uchafuzi wa CCM kwenye box la kura na kuchukua waliopata division 4 ndio ikawa mwanzo wa mdororo

Majuzi Mtu mmoja anatokea huko anasema waanzishe somo la historia kwa kiswahili ! Unajiuliza walimu wa hilo somo wako wapi? Vitabu vya kiada na ziada vya hilo somo viko wapi na waziri alibariki hili..insane
 
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Mkiambiwa kuwa muwe na chama cha waalimu sahihi ninyi mnapendelea chama chenu cha walimu CWT kiwe mojawapo ya 'jumuiya" ya CCM.

ILI maslahi yenu yasikilizwe ipasavyo lazima mjipambanue kuwa CWT Tanzania Teachers Union haijikombi kuwa kama jumuiya ya CCM, inatakiwa CWT kijipambanue kuwa ni chama huru cha wafanyakazi ambao ni waalimu na ndipo kitaweza kuwatumikia pia kuwatetea ipasavyo ktk mshahara, nani awe mwalimu n.k.

Bila CWT kuwa chama huru cha wafanyakazi waalimu tena mlivyo wengi lakini mnabaki kupaza sauti mmoja mmoja, serikali ya CCM na Wizara ya elimu inayotekeleza ilani na miongozo ya CCM haitawasikiliza.
 
Tangu niache kazi private school sijawahi kutamani kufanya kazi huko pia.Yaani utadhan unafanya kazi ndani ya Nchi nyingne kabsa siyo Tz.Mwl anayefanya kazi private yeyote asiwe na Stress,Pressure,Kisukari n.k namvulia kofia.Huko kuna ushenzi wa kila rangi yaani na serikali ipo kmya tu.Kuna siku kidogo nimpige ngumi Mwenye shule kwa sababu ya manyanyaso yake ya mda mrefu.Ile shule mpka sasa inapumulia mashine maana hakuna mwl anayekaa pale zaidi ya miaka 2.
 
These are keyboard errors not huma errors. See the intessions
Mkuu tunaelewa sote tunaelewa kiingereza ni lugha tunayojifunza..sio lazima uoneshe unaijua sana...unazidi kuharibu hebu ona.."huma" najua ulitaka kuandika "Human" hili linasameheka..na hii "intessions" ndio ulijifunza huko "English Medium"...dah kama hali ndio hii kubali tu huo mshahara wa laki na nusu..unakutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…