ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
MwendazakeNitajie kiongozi anayesomesha watoto shule ya kata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwendazakeNitajie kiongozi anayesomesha watoto shule ya kata.
Kiingrez doh fuull aaaah aaah aaahHapana, tumetoka mbali na staili za utendaji, kuwekana ndani za Mwendazake.
Mi nalia na kiingelesi cha Profesa Waziri wa Elimu.
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).
Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.
Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.
Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Kwani kakupiga wewe marufuku ya kupeleka mwanao international school??? Mambo mengine tunayaingiza hata hayana uhusiano na utendaji wake!Ni uongo kuwa watoto wake wanasoma private? kama ameboresha elimu nchini kwanini watoto wake asiwahamishie shule za umma anazozisimamia yeye?
Chuki na huyo bibi nimewahi kumtongoza akanikataa? maana hajui biashara kwamba nimekutana naye kwenye biashara zangu.Kwani kakupiga wewe marufuku ya kupeleka mwanao international school??? Mambo mengine tunayaingiza hata hayana uhusiano na utendaji wake!
Isipokuwa tunashambulia tu kwasababu tuna chuki naye!
We unafikiria kwa kutumia tumbo si ubongo.Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).
Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.
Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.
Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Acha kufikiri kwa kutumia tumbo, yeye ndiye waziri husika wa elimu unataka alaumiwe nani? Inabidi abebe msalaba wake.Kwani ni yeye tu anayesomesha watoto private? Vipi mawaziri wengine wao hawasomeshi watoto wao private? Kwanini ahukumiwe yeye tu kwa kosa la kimfumo?
We ndiye siyo muelewa inabidi uwekwe Mirembe.Mh RC Mtaka hakuelewa ile semina Elekezi ya iliyotolewa kwa Wakuu wa Mikoa labda awekwe kambini ili aelewe vizuri!
Kwanza wizara ya elimu ilikuwa inaendeshwa na mwendazake
Ndalichako anahusika na elimu ya vyuo vya kati na vyuo vya juu. Ngazi ya msingi na sekondari elimu inasimamiwa na Tamisemi sasa kosa la ndalichako liko wapi? Mbona hamumlaumu waziri wa Tamisemi?Acha kufikiri kwa kutumia tumbo, yeye ndiye waziri husika wa elimu unataka alaumiwe nani? Inabidi abebe msalaba wake.
Kwani ni kosa kusomesha watoto private?Ni uongo kuwa watoto wake wanasoma private? kama ameboresha elimu nchini kwanini watoto wake asiwahamishie shule za umma anazozisimamia yeye?
Huyu mama hawezi pendwa sababu si mwanasiasa. Watanzania wanapenda wanasiasa.Ndalichako anafaa sana kuwa mtendaji kama vile Katibu Mkuu na siyo mwanasiasa i.e Waziri ...ndiyo maana kazi zake nzuri za nyuma akiwa mtendaji zimefunikwa na mambo ya kisiasa ....siasa inamuharibia sana huyu mama
Kwa hiyo hata lugha ya Malkia anaiweza?Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Huyu mama ni mchapakazi mzuri mwenye misimamo isiyoyumbishwa hasa tunapokuja kwenye suala la elimu tangu alipokuwa katibu wa baraza la taifa la mitihani(NECTA).
Lakini tangu apewe dhamana ya uwaziri wa elimu mama wa watu amekuwa akizodolewa hapa na pale kwamba hafai muda mwingine kwa makosa ambayo siyo yake.
Mfano kwenye suala la usimamizi wa elimu, mama ndalichako anasimamia elimu kwa ngazi ya vyuo vya kati na vyuo vikuu huku usimamizi wa elimu ngazi ya msingi na sekondari ukiwa chini ya TAMISEMI ambayo inaongozwa na Ummy Mwalimu.
Cha kushangaza kwenye hili saga la Mkuu wa Mkoa anayelalamikiwa ni Ndalichako lakini watu wanasahau kwamba hilo jukumu la usimamizi wa elimu kwa sasa lipo chini ya tamisemi ambayo inaongozwa na waziri ummy kwahiyo kama ni lawama wanaopaswa kulaumiwa ni TAMISEMI, mama ndalichako anaonewa tu.
Nashangaa mnavyoshikilia bango suala la kiingerezaEti mchapakazi.....
Mchapakazi gani hajui kiingereza?
Kiingereza ndio medium of instruction kuanzia f0m wan mpaka PhD, Sasa Kama hajui lugha hiyo kazi ataichapaje?
Very intelligent yeye ni Mgalatia na anatakiwa awapishe wafanye yao/tufanye yetuNdalichako huenda amekuwa mwiba kwenye maamuzi ya Baraza la mawaziri kutokana na misimamo yake. Ndo maana enzi za JK aliamua kuachia uongozi Baraza la mitihani huenda anatafutiwe zengwe aondolewe.Maana JK Sasa anakuja kwa namna nyingine.