WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma

Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!

Hii hali si sawa naomba upige marufuku kama kufaulu mbona watoto wanafaulu tu why masomo mpaka Jumamosi?
 
Siyo tu jumamosi watoto hawajafunga shule likizo hii yote eti darasa la mtihani , ndio ujue tanzania mamlaka haziheshimiani kila mtu ni kambale kwenye eneo lake , waziri anatoa msimamo wake na afisa elimu mkoa nae anatoa msimamo wake
 
Na ratiba za kuwafundisha watoto kuanzia sa kumi na mbili asubuhi hadi sa tatu usiku. Kwani hizi elimu sijui zimekua vipi hadi private napo mateso tu.
 
Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!
Shule za serikali zinaongoza hiyo kero kwa Dar.
Tena katikati ya juma(week) wanalazimisha wasome Hadi saa 12 jioni na wanataka michango ya lazima ya kulipia hiyo remedial classes.
Jumamosi mtoto asipienda wanataka ulipie pesa ya mitihani waliyofanya wenzake Jumamosi. Hii biashara kiasi fulani.
 
Mitoto ya siku hizi vichwa vigumu sana, japo kwa primary level masaa 9 yanatosha kufundisha mtoto

Kuwe na muda wa kupata maarifa ya nyumbani na kujitegemea lasivyo tutazalisha mashoga , leabians , single mothers, wanaume wasiowajibika tena wakiwa na elimu zao
 
Alafu unaskia Ajira hamna

Nguvu nyingi zinatumika
Mavuno kidogo

Hadi socks WTz wanategeana china
Aisee, toothpicks, Sindano

🤔

Kwa mahangaiko hayo tungeona labda Wanafunzi wakitoka wanafanya vitu vikubwa
Ila vitu ni opposite
 
7F1BF4E8-69E2-45B8-924D-EF3D610272A0.jpeg
 
Mzazi,
Mipango mingi ya masomo ya ziada hupangwa/hupendekezwa na wazazi wenyewe kwenye vikao vyao mashuleni.
Kwakuwa kuna kamati/bodi za shule ambapo wazazi ndio wajumbe na wana nafasi kubwa ya kujenga hoja kama masomo ya ziada yawepo au yasiwepo.Ungeanzia huko na kushirikisha wazazi wengine ungesaidia zaidi.(ushauri wangu)
 
Shule ya msingi Upendo, Mbezi mwisho ndio balaa, kila jumamosi watoto wanaenda shule la sita na la saba na wanalipia hela na mtoto asipokwenda anachapwa.

Mzazi ukihoji walimu wanaungana kukuchamba na ni shule ya Serikali
 
Shule za serikali zinaongoza hiyo kero kwa Dar.
Tena katikati ya juma(week) wanalazimisha wasome Hadi saa 12 jioni na wanataka michango ya lazima ya kulipia hiyo remedial classes.
Jumamosi mtoto asipienda wanataka ulipie pesa ya mitihani waliyofanya wenzake Jumamosi. Hii biashara kiasi fulani.
Si unakataa tu kulipa kwani watakufanya nini...mbona watu mpo passive sana
 
Siyo tu jumamosi watoto hawajafunga shule likizo hii yote eti darasa la mtihani , ndio ujue tanzania mamlaka haziheshimiani kila mtu ni kambale kwenye eneo lake , waziri anatoa msimamo wake na afisa elimu mkoa nae anatoa msimamo wake
Tunaandaa kizazi cha wajinga ambao hawatajua nini maana ya kazi
 
Mashule ya sasa mengi yamekaa kiupigaji tena upigaji.

Mtoto anafungua shule yupo darasa la pili naambiwa mzazi inatakiwa Ream paper Double A kwa lazima.

Hivi huyu mtoto ream ya nini
 
Si unakataa tu kulipa kwani watakufanya nini...mbona watu mpo passive sana
Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikilazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe hiyo shule, hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
 
Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikikazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe shule hiyo hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
Duu, shule ya serikali?
 
Back
Top Bottom