Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Ndiyo, ipo Dar.Duu, shule ya serikali?
Ndiyo, ipo Dar.Duu, shule ya serikali?
Kinara wa Hizi Tabia ni Miburani Sekondary iliyopo Wailes Wilaya ya Temeke ni shidaa kweli kweli hadi sikukuu wanalazimishwa waende ili wakusanye buku buku zao na hapo bado kuchangia walimu wa kujitolea, mwanao usipomlipia atatembezewa mboko balaaMtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikilazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe hiyo shule, hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
Nadhani Tuishie Hapa.....Mitoto ya siku hizi vichwa vigumu sana, japo kwa primary level masaa 9 yanatosha kufundisha mtoto
Kuwe na muda wa kupata maarifa ya nyumbani na kujitegemea lasivyo tutazalisha mashoga , leabians , single mothers, wanaume wasiowajibika tena wakiwa na elimu zao
Hali ipo hivyo shule karibu zote za serikali za kutwa hasa za kata.Kinara wa Hizi Tabia ni Miburani Sekondary ni shidaa kweli kweli hadi sikukuu wanalazimishwa waende ili wakusanye buku buku zao na hapo bado kuchangia walimu wa kujitolea, mwanao usipomlipia atatembezewa mboko balaa
Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikilazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe hiyo shule, hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
Mi mtoto hajawahi kanyaga shule jumamosi na hatotanyaga kama ni mtihani watafanya peke yao. Na shule atafika saa 7 hadi saa 2 asubuhi.
Tatizo ni mzazi.Huu ndo uanaume.
Na sio kila kitu kulalamikia Serikali, Ni kuchukua actions.
Kwahiyo huyo mtoto wa darasa la pili hafanyi mitihani?Mashule ya sasa mengi yamekaa kiupigaji tena upigaji.
Mtoto anafungua shule yupo darasa la pili naambiwa mzazi inatakiwa Ream paper Double A kwa lazima.
Hivi huyu mtoto ream ya nini
Ukiona hivyo ujue wazazi ndio maboya. Mkuu yeyote yule asipotakiwa na wazazi chap anaondolewa.Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikilazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe hiyo shule, hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
🤣 Ngoja nikae kimya Kuna jambo ningeandika kujibu hili swali lako ila italeta shida Sina mwanasheriaWanaoingia la Saba hawakufunga, watoto wanapumzika saa ngapi?..wanachofundishwa kitu gani ambacho wazazi wao hatukusoma?
🤣Huko Dodoma shule ya sekondari kikuyu watoto wanaenda shule hadi jumapili....hii nchi ni takataka ya sokoni
Unaandika tu hapa mkuu 🤣Si unakataa tu kulipa kwani watakufanya nini...mbona watu mpo passive sana
😥Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikilazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe hiyo shule, hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.
Mimi hapa ninapoishi Kuna wanafunzi 3, watoto kurudishwa kisa Hela ya mtihani ni karibia Kila wiki Moja au mbili. mpaka mzazi anasema au watoto wezi, ila Kila akienda shule unakuta ni kweli inatakiwa hiyo helaDuu, shule ya serikali?
Unapaswa upambane na hao walimu mtolee mmoja wao mfanoShule ya msingi Upendo, Mbezi mwisho ndio balaa, kila jumamosi watoto wanaenda shule la sita na la saba na wanalipia hela na mtoto asipokwenda anachapwa.
Mzazi ukihoji walimu wanaungana kukuchamba na ni shule ya Serikali
Darasa la mitihani hahamishwi.Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.