WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

Darasa la mitihani hahamishwi.
Uwe jeuri ila uhakikishe mtoto yuko vizuri kichwani.
Kuna dogo nyumbani anasimamiwa kujisomea vizuri kuliko shuleni, huko kakutana na wajinga wengi anacheza tu. Home analetewa mwalimu wa home tuition . Form 2 amepiga Div 1 safi.
Form three wanawasumbua vivyo hivyo hapati muda wa kusoma tuition nyumbani wala kujisomea. Maendeleo yake yanashuka darasani.
Shule wanakula bure hiyo pesa ya remedial classes hawafundishi siku zote ingawa wanakula pesa ya kila siku. Hawawasimamii wajisomee wana wafungia darasani hadi saa 12 jioni wanacheza tu.
Ukizingatia siku hizi watoto wanaingia shule wakiwa wadogo sana. Wanawaza kucheza utoto mwingi. Grade 1 wanaanza 5yrs old.
 
Kwa sasa hakuna haja ya kuwakimbiza watoto shule
 
Mzazi,
Mipango mingi ya masomo ya ziada hupangwa/hupendekezwa na wazazi wenyewe kwenye vikao vyao mashuleni.
Kwakuwa kuna kamati/bodi za shule ambapo wazazi ndio wajumbe na wana nafasi kubwa ya kujenga hoja kama masomo ya ziada yawepo au yasiwepo.Ungeanzia huko na kushirikisha wazazi wengine ungesaidia zaidi.(ushauri wangu)
we jamaa itakuwa either haukusoma au wewe ni mwalimu ko unatetea maslahi! Mi ni form four graduator wa mwaka 2025 hivyo naelewa kadhia anayozungumzia mtoa mada! Mi mwenyewe nilikuwa nalaza mshale mida ya saa 8 ikifika! Halafu wazazi huwa wanaitwa kutaarifiwa tu na sio kupinga maamuzi! Hii nimeiona kwenye shule niliyosoma!
 
Mi mtoto hajawahi kanyaga shule jumamosi na hatotanyaga kama ni mtihani watafanya peke yao. Na shule atafika saa 7 hadi saa 2 asubuhi.
Wazazi ndo wanaoendekeza huu ujinga, ikifika jumamosi sipeleki mtoto shule mimi,wala sitoi pesa wakati wa likizo.
Wakitaka wamfate wenyewe na wamlipie!
 
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma

Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!

Hii hali si sawa naomba upige marufuku kama kufaulu mbona watoto wanafaulu tu why masomo mpaka Jumamosi?
Mtoto wangu haendi shule jumamosi, tutakaa nyumbani tufundishane.

Ni kipi umemfundisha wiki nzima, hakuelewa aje kuelewa jumamosi?

Hiyo ngoma nenda mahakamani.
 
Na hii mambo ya kulazimisha wakae boarding eti madarasa ya mitihani inaboa saana. Ni PHD au masters wanasoma?
 
Back
Top Bottom