Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Siyo tu jumamosi watoto hawajafunga shule likizo hii yote eti darasa la mtihani , ndio ujue tanzania mamlaka haziheshimiani kila mtu ni kambale kwenye eneo lake , waziri anatoa msimamo wake na afisa elimu mkoa nae anatoa msimamo wakeHii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma
Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!
Hii hali si sawa naomba upige marufuku kama kufaulu mbona watoto wanafaulu tu why masomo mpaka Jumamosi?
Waziri wa elimu haya ndio maeneo anatakiwa kutoa msimamo lakini wako busy na kambi za uraisNaunga mkono hoja na Likizo ziheshimiwe.Private School wanalazimisha watoto kubaki likizo na fedha kubwa.
Na ratiba za kuwafundisha watoto kuanzia sa kumi na mbili asubuhi hadi sa tatu usiku. Kwani hizi elimu sijui zimekua vipi hadi private napo mateso tu.Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma
Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!
Hii hali si sawa naomba upige marufuku kama kufaulu mbona watoto wanafaulu tu why masomo mpaka Jumamosi?
Shule za serikali zinaongoza hiyo kero kwa Dar.Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku private ndio Mateso maana unalipia hela ya ziada na School Bus haiji jumamosi tunaingia Gharama za kupeleka na kurudisha watoto!
Si unakataa tu kulipa kwani watakufanya nini...mbona watu mpo passive sanaShule za serikali zinaongoza hiyo kero kwa Dar.
Tena katikati ya juma(week) wanalazimisha wasome Hadi saa 12 jioni na wanataka michango ya lazima ya kulipia hiyo remedial classes.
Jumamosi mtoto asipienda wanataka ulipie pesa ya mitihani waliyofanya wenzake Jumamosi. Hii biashara kiasi fulani.
Tunaandaa kizazi cha wajinga ambao hawatajua nini maana ya kaziSiyo tu jumamosi watoto hawajafunga shule likizo hii yote eti darasa la mtihani , ndio ujue tanzania mamlaka haziheshimiani kila mtu ni kambale kwenye eneo lake , waziri anatoa msimamo wake na afisa elimu mkoa nae anatoa msimamo wake
Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.Si unakataa tu kulipa kwani watakufanya nini...mbona watu mpo passive sana
Duu, shule ya serikali?Mtoto wako atakuwa victim of the circumstances.
Watamtafutia sababu atachapwa Sana, na ikikazimu watamtafutia kosa la kukulazimisha ahamishwe shule hiyo hawamtaki.
Yupo headmaster wa shule moja siitaji anasema hutaki kulipa mtoto wako utamhamisha na hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Labda ana mtu mkubwa huko wizarani.