WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

Darasa la mitihani hahamishwi.
Uwe jeuri ila uhakikishe mtoto yuko vizuri kichwani.
Kuna dogo nyumbani anasimamiwa kujisomea vizuri kuliko shuleni, huko kakutana na wajinga wengi anacheza tu. Home analetewa mwalimu wa home tuition . Form 2 amepiga Div 1 safi.
Form three wanawasumbua vivyo hivyo hapati muda wa kusoma tuition nyumbani wala kujisomea. Maendeleo yake yanashuka darasani.
Shule wanakula bure hiyo pesa ya remedial classes hawafundishi siku zote ingawa wanakula pesa ya kila siku. Hawawasimamii wajisomee wana wafungia darasani hadi saa 12 jioni wanacheza tu.
Ukizingatia siku hizi watoto wanaingia shule wakiwa wadogo sana. Wanawaza kucheza utoto mwingi. Grade 1 wanaanza 5yrs old.
 
Kwa sasa hakuna haja ya kuwakimbiza watoto shule
 
we jamaa itakuwa either haukusoma au wewe ni mwalimu ko unatetea maslahi! Mi ni form four graduator wa mwaka 2025 hivyo naelewa kadhia anayozungumzia mtoa mada! Mi mwenyewe nilikuwa nalaza mshale mida ya saa 8 ikifika! Halafu wazazi huwa wanaitwa kutaarifiwa tu na sio kupinga maamuzi! Hii nimeiona kwenye shule niliyosoma!
 
Mi mtoto hajawahi kanyaga shule jumamosi na hatotanyaga kama ni mtihani watafanya peke yao. Na shule atafika saa 7 hadi saa 2 asubuhi.
Wazazi ndo wanaoendekeza huu ujinga, ikifika jumamosi sipeleki mtoto shule mimi,wala sitoi pesa wakati wa likizo.
Wakitaka wamfate wenyewe na wamlipie!
 
Mtoto wangu haendi shule jumamosi, tutakaa nyumbani tufundishane.

Ni kipi umemfundisha wiki nzima, hakuelewa aje kuelewa jumamosi?

Hiyo ngoma nenda mahakamani.
 
Na hii mambo ya kulazimisha wakae boarding eti madarasa ya mitihani inaboa saana. Ni PHD au masters wanasoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…