kudath omar
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 173
- 209
Wewe umeona gharama ya mitihani ni kopi tu!!? Hiyo mitihani itajisahihisha!?Mtoto wa darasa la pili anachangia 2000 kwa mitihani miwili(copies) yenye gharama halisi ya urudufishaji ni Tsh 200 unaona ni sawa?
Unaandika kizembe bin ujuha sana.Unatakiwa upelekwe sober house.Hujui shule za ummah siku ya mtihani hamna mualimu anae fundisha tena hiyo siku ndo imeenda, mnasubiri j3 kupewa karatasi zenu.....mtoto kama mzazi wako ameshindwa kukupa 1500 ya mtihani kusumbua wa toto wa wazazi wengine walio toa 1500, wakati unajua vizuri huna pakukaa madarasa yanatumiwa.
lla wewe ni kubwa jinga au mtoto wako ni kilaza hivi 1500 Kwa ajili ya mitihani ya mwanao ni ya kutolea Uzi kweli?Mimi nachokihisi mwanao hajiwezi ndio maana unahisi hiyo 1500 ni kutapeliwa.Upo sahihiKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Kusahihisha mitihani kwa peni tatu za shilingi 600 ni gharama sana?Mwizi mkubwa wewe!Hiyo kazi mliiomba ya nini sasa kama hadi kusahihisha unadai ulipwe/ujilipe?Na mshahara?Wewe umeona gharama ya mitihani ni kopi tu!!? Hiyo mitihani itajisahihisha!?
Mwanae kumtolea elf 6 kwa mwezi na jumla elf 72 Kwa mwaka anaona nyingi ila kuchangia Harusi zaidi ya tano kwa mwaka na kutoa angalau Laki moja anaona sawa.Mtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
Walimu hawajawah kuwa na akili Kila sehem wapo mpaka kwenye kuandikisha daftar la kudumu la wapiga kura wapooKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.Mnyonge(tena wa akili usiye na hofu ya Mungu) ni wewe unayetumia watoto masikini kujishibisha.
Hujui shule za ummah siku ya mtihani hamna mualimu anae fundisha tena hiyo siku ndo imeenda, mnasubiri j3 kupewa karatasi zenu.....mtoto kama mzazi wako ameshindwa kukupa 1500 ya mtihani kusumbua wa toto wa wazazi wengine walio toa 1500, wakati unajua vizuri huna pakukaa madarasa yanatumiwa.
Hizo 72 elfu ni zao?Kuchangia au kutokuchangia harusi ni hiyari ya moyo.Mitihani kopi ya tsh 200 ndiyo watoto wachangishwe @2000?Huu ni wizi kamili.Mwanae kumtolea elf 6 kwa mwezi na jumla elf 72 Kwa mwaka anaona nyingi ila kuchangia Harusi zaidi ya tano kwa mwaka na kutoa angalau Laki moja anaona sawa.
jinga kabisa.wakat miitihan inawapa tizi watoto.nildhan kwanza angauchkua mtihan walau a u assess vip umetungwa kisawa sawa? mtot akiufanya wanasahihisha? maswal aliyokosa wanafanya solving?? enzi zetu kule mchiki down ilikua unaenda jumamos unalipa kwa topik inakatwa topik nzima kwa siku hio hio.niliwah kuelewa jins ya kuderive kepplers law nikiwa form 2 ilihali hilo swal ni.la advance chezea mchiki down wewe. utakua mzaz wa hovyo sana ukiwa hujui umuhim wa mitihan mitihan hii ambayo ili mwal. nae ajipinde ausuke maswal konk kusud mtoto akikutanq na necta anaona keki na chai ya maziwa yan kila swal mafuta tu. lazima ulipie kidogo kumbuka ile ni extra .wenunafikir zile shule zinazotoa one tupu unadhan wanapiga pepa ngap kwa wiki?Nenda kawambie Sasa walimuuza mtoto wako hutak afanye mitihani kwamba 1500 yako ni nyingi,
Sisi wazazi wengine pesa tutatoa, wewe msiburi waziri wa elimu akujibu apige marufuku majaribio na mitihani shuleni ikiwa watoto wake wako international school 🎒
Ww , kuna watu wanapitia mambo magum na bado wazazi wanapambana mtoto akapate hicho kidogo shule.Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.
Uwe na akili sasa.Hakuna anayedai bure.Mitihani miwili kopi kwa shilingi 200 ndiyo watoto wachangishwe Tsh 2000?Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.
Mkuu tafadhari wewe unafanya kazi gani? Kwasbb naona uko ignorant sana kuhusu masuala ya elimu kama wewe sio boda boda utakua mlinzi au mkulima.Kusahihisha mitihani kwa peni tatu za shilingi 600 ni gharama sana?Mwizi mkubwa wewe!Hiyo kazi mliiomba ya nini sasa kama hadi kusahihisha unadai ulipwe/ujilipe?Na mshahara?
Tuanzia hapa kwenye vikao vinavyiitishwa shule huwa unahudhuria?Ninataka tamko la serikali, kama ni policy ya wizara, then it needs another approach, kama ni miradi ya walimu, then also needs a different approach!
Waziri atoe tamko, then one from there will see the way forwrd!
Mkuu huo ni utaratibu wa zamani sasa hivi mitihani yote inafanyika kuanzia na wa hesabati asubuhi mpaka wa maarifa jioni hiyo ratiba na ofisa elimu kata anaijua vzri tu.Siku za mitihani kwa week ni kwa madarasa ya mitihani sana sana na waalimu hua wanahakikisha hiyo mitihani inafanyika jion au asubui.
Na ndio hizo siku mnalazimisha watoto wa wenyewe watoe afu mia tano.
Mnawafanyisha mtihani wa mathe alafu pesa ilobaki mnaongezea kwenye rejesho
Huwa inajichapa?Wewe umeona gharama ya mitihani ni kopi tu!!? Hiyo mitihani itajisahihisha!?
Mkuu umewahi kuufika kwenye kikao chochote Cha mtoto wako? Kama hujawah Mimi nimewahi mkuuKila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Kwahiyo hao walimu huo muda unatadhani anawalipa nani? Tusiwashushe morali wenye taaluma zao,kuliko mwanao arudishwe home mapema akibaki shule na kupata cha ziada unaona ni vibaya? Hiyo ya Harusi nimetolea mfano tu ila Elf 72 kwa mwaka kwa manufaa ya mwanao unaona ni nyingi? Angekuwa anasoma private? Hao Waalimu wanataka mwanao awe busy muda wote, wanaweza kuamua kuacha na kufuata utaratibu wa kawaida wa mitihani ya mihura,na wakaendelea na mishe zao za kutafuta kipato cha ziada,mwanao ndiyo ataathirika.Hizo 72 elfu ni zao?Kuchangia au kutokuchangia harusi ni hiyari ya moyo.Mitihani kopi ya tsh 200 ndiyo watoto wachangishwe @2000?Huu ni wizi kamili.
Hizo 72 elfu ni zao?Kuchangia au kutokuchangia harusi ni hiyari ya moyo.Mitihani kopi ya tsh 200 ndiyo watoto wachangishwe @2000?Huu ni wizi kamili.