KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hujui shule za ummah siku ya mtihani hamna mualimu anae fundisha tena hiyo siku ndo imeenda, mnasubiri j3 kupewa karatasi zenu.....mtoto kama mzazi wako ameshindwa kukupa 1500 ya mtihani kusumbua wa toto wa wazazi wengine walio toa 1500, wakati unajua vizuri huna pakukaa madarasa yanatumiwa.
Unaandika kizembe bin ujuha sana.Unatakiwa upelekwe sober house.
 
I
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
lla wewe ni kubwa jinga au mtoto wako ni kilaza hivi 1500 Kwa ajili ya mitihani ya mwanao ni ya kutolea Uzi kweli?Mimi nachokihisi mwanao hajiwezi ndio maana unahisi hiyo 1500 ni kutapeliwa.Upo sahihi
 
Mtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
Mwanae kumtolea elf 6 kwa mwezi na jumla elf 72 Kwa mwaka anaona nyingi ila kuchangia Harusi zaidi ya tano kwa mwaka na kutoa angalau Laki moja anaona sawa.
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Walimu hawajawah kuwa na akili Kila sehem wapo mpaka kwenye kuandikisha daftar la kudumu la wapiga kura wapoo
 
Dah watanzania kwa kulalama hamjambo.
1500 kwa manufaa ya mwanao unaleta bandikoo????
Jf ilikuwa na vichwa vya logic na reasoning ila ninyi ndio mnafanya humu kuonekane kituko na member wote waonekane hovyo.

Kama 1500 kwaajil ya mwanao tu unapiga kelele hizo je jusomesha shule binafsi utaweza mkuu?

Nilitegemea wewe ushauri namna bora ya kuboresha ufaulu wa watoto wetu ila si lawama kama hizo.
 
Mnyonge(tena wa akili usiye na hofu ya Mungu) ni wewe unayetumia watoto masikini kujishibisha.
Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.
 
Hujui shule za ummah siku ya mtihani hamna mualimu anae fundisha tena hiyo siku ndo imeenda, mnasubiri j3 kupewa karatasi zenu.....mtoto kama mzazi wako ameshindwa kukupa 1500 ya mtihani kusumbua wa toto wa wazazi wengine walio toa 1500, wakati unajua vizuri huna pakukaa madarasa yanatumiwa.

Siku za mitihani kwa week ni kwa madarasa ya mitihani sana sana na waalimu hua wanahakikisha hiyo mitihani inafanyika jion au asubui.
Na ndio hizo siku mnalazimisha watoto wa wenyewe watoe afu mia tano.
Mnawafanyisha mtihani wa mathe alafu pesa ilobaki mnaongezea kwenye rejesho
 
Dah watanzania kwa kulalama hamjambo.
1500 kwa manufaa ya mwanao unaleta bandikoo????
Jf ilikuwa na vichwa vya logic na reasoning ila ninyi ndio mnafanya humu kuonekane kituko na member wote waonekane hovyo.

Kama 1500 kwaajil ya mwanao tu unapiga kelele hizo je jusomesha shule binafsi utaweza mkuu?

Nilitegemea wewe ushauri namna bora ya kuboresha ufaulu wa watoto wetu ila si lawama kama hizo.
 
Mwanae kumtolea elf 6 kwa mwezi na jumla elf 72 Kwa mwaka anaona nyingi ila kuchangia Harusi zaidi ya tano kwa mwaka na kutoa angalau Laki moja anaona sawa.
Hizo 72 elfu ni zao?Kuchangia au kutokuchangia harusi ni hiyari ya moyo.Mitihani kopi ya tsh 200 ndiyo watoto wachangishwe @2000?Huu ni wizi kamili.
 
Nenda kawambie Sasa walimuuza mtoto wako hutak afanye mitihani kwamba 1500 yako ni nyingi,
Sisi wazazi wengine pesa tutatoa, wewe msiburi waziri wa elimu akujibu apige marufuku majaribio na mitihani shuleni ikiwa watoto wake wako international school 🎒
jinga kabisa.wakat miitihan inawapa tizi watoto.nildhan kwanza angauchkua mtihan walau a u assess vip umetungwa kisawa sawa? mtot akiufanya wanasahihisha? maswal aliyokosa wanafanya solving?? enzi zetu kule mchiki down ilikua unaenda jumamos unalipa kwa topik inakatwa topik nzima kwa siku hio hio.niliwah kuelewa jins ya kuderive kepplers law nikiwa form 2 ilihali hilo swal ni.la advance chezea mchiki down wewe. utakua mzaz wa hovyo sana ukiwa hujui umuhim wa mitihan mitihan hii ambayo ili mwal. nae ajipinde ausuke maswal konk kusud mtoto akikutanq na necta anaona keki na chai ya maziwa yan kila swal mafuta tu. lazima ulipie kidogo kumbuka ile ni extra .wenunafikir zile shule zinazotoa one tupu unadhan wanapiga pepa ngap kwa wiki?
 
Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.
Ww , kuna watu wanapitia mambo magum na bado wazazi wanapambana mtoto akapate hicho kidogo shule.
Kama ww umebarikiwa mshukuru Mungu sana
Na usitegemee kila mzazi atakua na hiyo 1500 kila jumatatu au ijumaa kwa ajil ya mtihani
 
Pale dukani kwa mangi sukali unapewa bure, pempasi unapewa bure hospitali panado unapewa bure kwasbb we nimnyonge, hsya basi simamisha dala dala upande ukatae kumpa nauli umueleze kwamba wewe ni mnyonge masikini unakula mulo mmoja,.....lakini likija suala la elimu ndo mnajifanya wanyonge masikini wakati kwenye vikoba mnachangia vizuri tu kila wiki.
Uwe na akili sasa.Hakuna anayedai bure.Mitihani miwili kopi kwa shilingi 200 ndiyo watoto wachangishwe Tsh 2000?
 
Kusahihisha mitihani kwa peni tatu za shilingi 600 ni gharama sana?Mwizi mkubwa wewe!Hiyo kazi mliiomba ya nini sasa kama hadi kusahihisha unadai ulipwe/ujilipe?Na mshahara?
Mkuu tafadhari wewe unafanya kazi gani? Kwasbb naona uko ignorant sana kuhusu masuala ya elimu kama wewe sio boda boda utakua mlinzi au mkulima.
 
Ninataka tamko la serikali, kama ni policy ya wizara, then it needs another approach, kama ni miradi ya walimu, then also needs a different approach!
Waziri atoe tamko, then one from there will see the way forwrd!
Tuanzia hapa kwenye vikao vinavyiitishwa shule huwa unahudhuria?
Haya mambo ya
Hela ya steshenari
Chakuna
Yote huwa yanajadikiwa kwenye vile vikao ndo maana vinaitishwa wazazi mnashirikishwa namna ya kuingeza ufaulu wa watoto wenu.

Mkuu swala la elimu halina janja janjaaaa hakina siasa.

Uwe unahudhuria vikao vinavyoitishwa shule
 
Siku za mitihani kwa week ni kwa madarasa ya mitihani sana sana na waalimu hua wanahakikisha hiyo mitihani inafanyika jion au asubui.
Na ndio hizo siku mnalazimisha watoto wa wenyewe watoe afu mia tano.
Mnawafanyisha mtihani wa mathe alafu pesa ilobaki mnaongezea kwenye rejesho
Mkuu huo ni utaratibu wa zamani sasa hivi mitihani yote inafanyika kuanzia na wa hesabati asubuhi mpaka wa maarifa jioni hiyo ratiba na ofisa elimu kata anaijua vzri tu.
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Mkuu umewahi kuufika kwenye kikao chochote Cha mtoto wako? Kama hujawah Mimi nimewahi mkuu

Jambo linapitishwa na wazazi wenyewe kwa maslahi ya watoto wao,Zero zikitoka nyingi mtawananga walimu haohao ,wanaweka mechanism ya watoto walau kupata cheti ukiwepo kwenye kikao rahisi sana kupinga kama haupo wengine wakipitisha linakua halali kwa utekelezaji Kwahyo sio MUONGOZO WA MKENDA,Au Wizara ni matokeo ya vikao.

Watoto kama wakiachwa kwa mwaka Wanatakiwa wafanye mitihani minne tu ( Mwezi wa 3,6,9 na 11),Kwa kizazi Chasasa mitihani minne kwa mwaka ,16 kwa miaka 4 aingie kwenye Necta hatoboi.

Kama analipishwa mitihani ya midterm,terminal,annual ni kosa ya kujipima vifungu havitoshi lazima wazazi tuchangie Ream na pesa za mitihani kwengine mpaka pesa ya walimu wa kujitolea,.

MWENYEKITI KAMATI YA WAZAZI
 
Hizo 72 elfu ni zao?Kuchangia au kutokuchangia harusi ni hiyari ya moyo.Mitihani kopi ya tsh 200 ndiyo watoto wachangishwe @2000?Huu ni wizi kamili.
Kwahiyo hao walimu huo muda unatadhani anawalipa nani? Tusiwashushe morali wenye taaluma zao,kuliko mwanao arudishwe home mapema akibaki shule na kupata cha ziada unaona ni vibaya? Hiyo ya Harusi nimetolea mfano tu ila Elf 72 kwa mwaka kwa manufaa ya mwanao unaona ni nyingi? Angekuwa anasoma private? Hao Waalimu wanataka mwanao awe busy muda wote, wanaweza kuamua kuacha na kufuata utaratibu wa kawaida wa mitihani ya mihura,na wakaendelea na mishe zao za kutafuta kipato cha ziada,mwanao ndiyo ataathirika.

Back
Top Bottom