KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
🤣🤣🤣🤣
Unaepusha nini bana we ijumaa leo buku jero ishakutoka......

Hiyo hela masikini mtihani uje uchapwe utolewe kopi, wasimamie wasahishe wagawane sijui elf kumi naa, umasikini ni mbaya sana itoshe kusema hivi
Leo jioni tusisumbuane.Sitoi ofa kwa maticha.Mgao wenu mmeupata asubuhi kwenye michango ya mitihani uchwara.
 
Kuwa muelewa wewe.Tunapoandika hivi,hatuandiki kwa ajili ya watoto wetu tu.Hii inashuka hadi kwa watoto wa familia zenye uchumi mwembamba zaidi ya tishu.Hao ndiyo hasa wanazungumziwa.Uwe unachukulia mambo kwa upana.Usichukulie kama tunanunuliana kimbo za rubisi kwa fujo kilabuni.
Hakuna elimu ya Bure ndugu.
Watu wanalipa pesa kupata elimu.
Umasikini upo lakini tuwajibike.
Watoto wetu wasome wake wawe katika nafasi ya kujitetea dhidi ya wadhalimu ambao watoto wao hawasomi hizo shule.
Sasa kama unagomea sijui 500 ya mitihani uliza watu wanaosomesha private schools ni mambo ya kawaida.

Hapo mlilalamika wanasiasa watafuta majaribio na mitihani shuleni ikiwa watoto wao hawasomi hizo shule na wao wanalipia zaidi kwenye private schools
 
Leo jioni tusisumbuane.Sitoi ofa kwa maticha.Mgao wenu mmeupata asubuhi kwenye michango ya mitihani uchwara.
Buku tu mishipa imesimama ofa umpe nani bwana 🤣🤣🤣.

Jitafute tafute mpeleke mtoto shule ya maana, shule ukienda kwenye graduu risala kwa mgeni rasmi ni "ndugu mgeni rasmi shule yetu ina upungufu wa computers"

Sio shule za "ndugu mgeni rasmi shule ina upungufu wa matundu ya choo" na bado mgeni rasmi anaingia mitini 😹😹 nacheka kama mazuri
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Inaonekana huo ni mradi wa chama cha mboga mboga kupitia walimu wakuu kukusanya pesa maana ni shule karibu zote ziko hivyo na kiwango cha pesa ni hicho hicho si zaidi wala pungufu.
 
Hakuna elimu ya Bure ndugu.
Watu wanalipa pesa kupata elimu.
Umasikini upo lakini tuwajibike.
Watoto wetu wasome wake wawe katika nafasi ya kujitetea dhidi ya wadhalimu ambao watoto wao hawasomi hizo shule.
Sasa kama unagomea sijui 500 ya mitihani uliza watu wanaosomesha private schools ni mambo ya kawaida.

Hapo mlilalamika wanasiasa watafuta majaribio na mitihani shuleni ikiwa watoto wao hawasomi hizo shule na wao wanalipia zaidi kwenye private schools
Swiming lessons katika private schools ni 45,000 per month study tour 70,000 mhula wa mwisho come tógather party, nk huyu ni mtoto wa kitanzania pia mtagombania ajira zile zile. 1500 tu mtu analalamika kweli.
 
Hiyo michango inaendana na hiyo mitihani/majaribio yenyewe?Ni marudio yaleyale hakuna ongezeko wala ubunifu.Changamoto hapa ni msongo wa mawazo wa walimu unaotokana na kukosa pesa.Wanabuni hadi njia mbovu za kuumiza watoto ili tu wapate hela.Na wanashirikiana na walimu wakuu kugawana pato haramu la michango hiyo.Jambo likiletwa hapa usidhani ni puruzai.Ni uhalisi.
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
1500 kwa week kwa ajili ya mtoto kufanya mtihani si jambo baya.

Ubaya ni mtoto kupigwa kisa hana hiyo 1500.
 
Swiming lessons katika private schools ni 45,000 per month study tour 70,000 mhula wa mwisho come tógather party, nk huyu ni mtoto wa kitanzania pia mtagombania ajira zile zile. 1500 tu mtu analalamika kweli.
Ni familia zote zinamudu hiyo?Shughulisheni vichwa vyenu.Kuna watoto wanapata mlo mmoja,saa kumi jioni kila siku,kwa sababu ya ufukara.Hiyo michango holela wataiweza?Walimu wanajianzishia tu kwa kisingizio imepitishwa na wazazi wakati huwa wanawaburuza tu wazazi vikaoni na kupitisha wayatakayo!
 
Kama hana hiyo pesa anakuja shuleni kufanya nini wakati anajua viziri leo ni siku ya mitihani abaki nyumbani asaidie mzazi ke kazi za ndani.
Kwa hiyo mtihani mmoja sijui miwili ndio umkoseshe mtoto haki ya kujifunza masomo mengine.
Ila walimu hua mnamatatizo sana.
 
Anakuja kufanya nini?Are you ok upstairs?Lengo mahsusi la mtoto kuja shule ni lipi?Kufanya majaribio kwanza au kujifunza na ujifunzaji kwanza?Hana huo mchango ndiyo afukuzwe?You people are worth nothing at all!
 
Ni familia zote zinamudu hiyo?Shughulisheni vichwa vyenu.Kuna watoto wanapata mlo mmoja,saa kumi jioni kila siku,kwa sababu ya ufukara.Hiyo michango holela wataiweza?Walimu wanajianzishia tu kwa kisingizio imepitishwa na wazazi wakati huwa wanawaburuza tu wazazi vikaoni na kupitisha wayatakayo!
Umasikini uko pale pale lazima upambane nao uepuke sio suala la kujivunia nakuanza kujisifia kwamba wewe ni mnyonge, pambane ili mtoto wako awe kama watoto wengine.
 
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?

Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?

Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa

Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Lipa hela,buku jero kila ijumaa unaona nyingi sana......mwanao unataka muda wa ziada akifundisha waalimu wasinywe hata soda? Acheni kila kitu kuwaonea Waalimu,usikute toto lako lenyewe gunia la misumari.......ningekuwa mwalimu mzazi kama wewe mwanao anakuwa anarudi saa nane ili awahi umfumdishe nyumbani mwenyewe
 
Umasikini uko pale pale lazima upambane nao uepuke sio suala la kujivunia nakuanza kujisifia kwamba wewe ni mnyonge, pambane ili mtoto wako awe kama watoto wengine.
Mnyonge(tena wa akili usiye na hofu ya Mungu) ni wewe unayetumia watoto masikini kujishibisha.
 
Kwa hiyo mtihani mmoja sijui miwili ndio umkoseshe mtoto haki ya kujifunza masomo mengine.
Ila walimu hua mnamatatizo sana.
Hujui shule za ummah siku ya mtihani hamna mualimu anae fundisha tena hiyo siku ndo imeenda, mnasubiri j3 kupewa karatasi zenu.....mtoto kama mzazi wako ameshindwa kukupa 1500 ya mtihani kusumbua wa toto wa wazazi wengine walio toa 1500, wakati unajua vizuri huna pakukaa madarasa yanatumiwa.
 
Back
Top Bottom