Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB.

Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
 
Naunga mkono hoja. Yaani pesa ni ya mkopo ambayo ni haki yao, halafu bado tena wazungushwe.
 
Halafu Kuna wajinga watasema umekurupuka, sasa viongozi vyuoni ni zero kabisa kichwani, upumbavu wakuu wa taasisi kutembelea ma V8 na VX ni ufala huku wanafunzi wanakosa boom
 
Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB.

Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Tatizo ni chuo au Helsb hapo ?
 
Back
Top Bottom