R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 May 22, 2023 #1 Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Wrevta JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 1,442 Reaction score 1,731 May 22, 2023 #2 Naunga mkono hoja. Yaani pesa ni ya mkopo ambayo ni haki yao, halafu bado tena wazungushwe.
Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 May 22, 2023 #3 Halafu Kuna wajinga watasema umekurupuka, sasa viongozi vyuoni ni zero kabisa kichwani, upumbavu wakuu wa taasisi kutembelea ma V8 na VX ni ufala huku wanafunzi wanakosa boom
Halafu Kuna wajinga watasema umekurupuka, sasa viongozi vyuoni ni zero kabisa kichwani, upumbavu wakuu wa taasisi kutembelea ma V8 na VX ni ufala huku wanafunzi wanakosa boom
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 May 24, 2023 #4 Inasikitisha sana..
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 May 24, 2023 #5 Retired said: Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri. Click to expand... Tatizo ni chuo au Helsb hapo ?
Retired said: Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri. Click to expand... Tatizo ni chuo au Helsb hapo ?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 May 24, 2023 Thread starter #6 adriz said: Tatizo ni chuo au Helsb hapo ? Click to expand... haijulikani, wanazungushwa tu