upupu255 Senior Member Joined Sep 4, 2024 Posts 119 Reaction score 144 Feb 14, 2025 #1 Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Your browser is not able to display this video.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Your browser is not able to display this video.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Feb 14, 2025 #2 upupu255 said: Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. View attachment 3236123 Click to expand... Wanamuongezea mama aweze kununua machawa zaidi. Mbona hatujaambiwa upungufu umetokea kwenye sekta gani!
upupu255 said: Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. View attachment 3236123 Click to expand... Wanamuongezea mama aweze kununua machawa zaidi. Mbona hatujaambiwa upungufu umetokea kwenye sekta gani!