TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Sijakupata, mhe. Dr Mgimwa hakuwa na nafasi ya nini? Pole kwa msiba wa mh. Dr Mgimwa

 
Poleni wafiwa.Pole Amina.Pole baba Ritz.Poleni Gambaz!
 
rest in peace mr mgimwa the minister
 

Nimekusoma sawiya!.....
 
Rose mayemba,
naelewa sasa ni mapema mno na maombi na faraja kwa familia ni muhimu

naomba kujua hali ya kisiasa ya chadema kalenga nilifanya research yangu ndogo niliyoifanya ktk uchaguzi uliopita
mgombea wa chadema anaitwa REHEMA hakufanya vizuri kwy jimbo hili najua hali na mazingira yamebadilika ukilinganisha na 2010 naomba kujua mtazamo wako juu ya cdm kuweza kuibuka kidedea.
 
Poleni sana, mungu amempenda zaidi tumuombee ndio kubwa zaidi lililopo mbele yetu.
 
Kama ni kweli.

So sad.Mwenyezi Mungu ampe pumziko panapomstahili.

Rai yangu tu,Hazina wasitumie msiba huu kuhujumu taifa.Naishia hapa
Totoe ushauri mzuri namna hii hata kwa vyama vyetu
 

Ni mapema mno kujadili hali ya kisiasa jimbo la kalenga kamanda, tumwache kwwanza kwenzetu apumzike kwa amani
 
Mungu atusaidie kuzihesabu siku zetu maana hatujui siku wala saa ya kuondoka kwetu duniani. R.I.P Mzee wetu
 
Natoa pole za dhati kwa familia ya Dr. Msigwa, Mungu awajalie faraja wakati huu mgumu wa pigo kubwa kwa familia yao. Natoa pia pole kwa ndugu jamaa, marafiki na wale wote ambao wameumizwa na msiba huu Mungu kwenye faraja awaponye na kuwasimamia wakati huu wa majonzi. Raha ya Milele Umpe Ee Bwana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…