TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

rip mzee wetu...kustaafu utumishi wa umma kisha kuingia kwenye siasa sidhani kama ni chaguo zuri hata kidogo kwa siasa hizi za kibongo bongo...

chezea kifo usicheezee mpunga ooh

rip kamanda
 
Tuliumbwa Kwa Udongo Tutarudi Mavumbini,siku Ya Mwisho
 
Yes baada ya kuomba Siku nyingi yanatimia, bado pinda,msangi na kikwete. Mungu nisamehe kwa kauli hii ila hawa watu nawachukia sana.
 
Kama ni kweli.

So sad.Mwenyezi Mungu ampe pumziko panapomstahili.

Rai yangu tu,Hazina wasitumie msiba huu kuhujumu taifa.Naishia hapa
Walishaanza kuhujumu muda hata kabla hajafa. KM alishaenda mara tano SA as if yeye ni flying doctor
 
rest in peace dr. Tunakuja tuko nyuma yako.

haahaaaa wacha masihara mkuu chuki mi niko mbele loh

hivi jama ajafunga mahesabu uko mpaka january moja analambwa mkubwa si mchezo

mmh haya naona wote wanaishia kufa south ,india mmh kazi kweli pumzika baba ulichoka kwa kweli
 
taarifa za hizi punde zinasema waziri wetu wa fedha aliekuwa milpark africa kusini katutoka
 
Ni kweli Waziri wa Fedha William
Mgimwa amefariki dunia leo katika
hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika





Kusini alipokuwa akitibiwa. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue,
ambaye amesema Mgimwa amefariki
majira ya saa 5:20 saa za Afrika Kusini
ambapo ni sawa na saa 6:20 kwa majira ya Tanzania.
 
Kuna mtu wangu wa karibu ameniarifu kuwa mhe. Mgimwa aliye kuwa Waziri wa fedha amefariki mchana huu. Mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali
 
RIP Dr. Mgimwa, mbele wewe nyuma sisi. Pamoja tutakutana panapotustahili. Ulikuwa mtumishi mwema na Hakika ulilitakia mema Taifa letu.
 
Daa mwaka umeanza kivingine kwa hii serikali
poleni wafiwa kwa maana ya familia,ukoo na majirani pia
tujipe pole na sisi watanzania kwa kuondokewa na dakitari wetu
Mungu amlaze panapostahili
 
Kuna mtu wangu wa karibu ameniarifu kuwa mhe. Mgimwa aliye kuwa Waziri wa fedha amefariki mchana huu. Mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali

MGIMWA AFARIKI: Waziri wa Fedha William Mgimwa amefariki leo saa 6.20 mchana Mediclinic Kloff, Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa, Ombeni Sefue athibitisha.
 
Back
Top Bottom