Nyamwisenda
Member
- Apr 16, 2011
- 8
- 5
pole sana watanzania wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rip mzee wetu...kustaafu utumishi wa umma kisha kuingia kwenye siasa sidhani kama ni chaguo zuri hata kidogo kwa siasa hizi za kibongo bongo...
rip mgimwa, tutakukumbuka daimaP.I.P ndio nini bwana Kibo255
Walishaanza kuhujumu muda hata kabla hajafa. KM alishaenda mara tano SA as if yeye ni flying doctorKama ni kweli.
So sad.Mwenyezi Mungu ampe pumziko panapomstahili.
Rai yangu tu,Hazina wasitumie msiba huu kuhujumu taifa.Naishia hapa
Poleni sana wafiwa kwa msiba.
rest in peace dr. Tunakuja tuko nyuma yako.
taarifa za hizi punde zinasema waziri wetu wa fedha aliekuwa milpark africa kusini katutoka
taarifa za hizi punde zinasema waziri wetu wa fedha aliekuwa milpark africa kusini katutoka
Yes baada ya kuomba Siku nyingi yanatimia, bado pinda,msangi na kikwete. Mungu nisamehe kwa kauli hii ila hawa watu nawachukia sana.
taarifa za hizi punde zinasema waziri wetu wa fedha aliekuwa milpark africa kusini katutoka
Kuna mtu wangu wa karibu ameniarifu kuwa mhe. Mgimwa aliye kuwa Waziri wa fedha amefariki mchana huu. Mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali
Nimepokea taarifa ya kusikitisha.
Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii