Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!
Kwahiyo mbinu rahisi ya kuzima mjadala ni kukatisha tamaa, sasa ilikuwaje kikabitishwa kisichoeza kurekebishwa?
 
tatizo wabunge hawajitambui , kazi kupokea hela zisizokatwa kodi , matatizo kama haya hawayajui , tutamlaumu Dkt. mwigulu bure , sasa solution ni hii hapa , wewe mtanzania kamata libunge lako popote lilipo liulize umefanya nini bungeni ? akishindwa kukujibu wewe ambaye ndie bosi piga mtama....
 
Huyu bwana mdogo no dikteta ukubwa,anaroho ya kinyama
 
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!

Watanzania vijana acheni kulalamika kuna vichaka kibao vya kulima soko lipo mnataka mbaki huku mitandaoni badala ya kufanya kazi. Mimi naunga mkono kodi maana tumechoka kusaidia acheni serikali iwekeze
 
tatizo wabunge hawajitambui , kazi kupokea hela zisizokatwa kodi , matatizo kama haya hawayajui , tutamlaumu Dkt. mwigulu bure , sasa solution ni hii hapa , wewe mtanzania kamata libunge lako popote lilipo liulize umefanya nini bungeni ? akishindwa kukujibu wewe ambaye ndie bosi piga mtama....
Shida kubwa ilianzia pale,wajumbe wakweli walipopuuzwa na badala yake mkono wa chuma kutumika.
 
Hizi ni dharau[emoji3525].

Fedhuli Kama uyu,
Tunapaswa Tuzidishe maombi ili MUUMBA akampende zaidi kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!
Tatizo kuna ulemavu katika ufikiri na ubunifu wa viongozi! Nilitegemea viongozi wafurahie kuona mwananchi anasitawi na mwenye furaha! Wao ndio kwanza wanapokonya! Tanzania ina utajiri wakutosha kwenye hii ardhi nashindwa kuelewa kwanini hautumiki kwa miaka 60 sasa tokea uhuru! Yaani serikali inavizia mwananchi wakawaida una nini mfukoni ndio wakubunie kodi!? Eti za kujenga mabarabara, binafsisheni barabara kwa makampuni makubwa ya ulaya watujengee sisi wananchi barabara za uhakika sio hizi zenu za changarawe mashimo kila mahali! tutalipia matumizi ya barabara nyie mchukue kodi kwa hizo kampuni! wanaiga ulaya hizi sera, tanzania inatakiwa ibuni mfumo wake mwenyewe wa uchumi tutatoboa! Mwigulu, watanzania wanaakili nikwambie tu! Kama % 98 wamejiajiri na hawaombi chakula cha msaada huko bungeni mnakotutungia matuta ya kutupungizia speed ya kufanikiwa hili litakwama na biasha ya kibenki kwa njia ya simu inaenda kufa trust me nakuja kuifufua sidhani kama mtaaminika tena!
Huo uchumi mnaojidai mmesomea kwanza vitabu vyenyewe vimeandikwa miaka ya 1800 - 1900, kwa karne hii ya vizazi vyenye turbo kwenye ubongo unadhani watakuelewa!!?
 
Kwahiyo mbinu rahisi ya kuzima mjadala ni kukatisha tamaa, sasa ilikuwaje kikabitishwa kisichoeza kurekebishwa?
Alicho kuwa ana tuaminisha na kilicho tokea ni tofauti.
Means that, bunge halija pitisha haya makato yanayo endela hivi sasa. Kwa maana nyingine huu ni wizi
 
Uzalendo sio kwa watawaliwa pekee watembelee vits na sio v8 lita 2000 bure kwa mwezi, posho kibao,posho ya siku ni mshahara wa watz 3 kwa mwezi,sio sisi tukaze mikanda wao wanalegeza mikanda yao.
 
Huo ndio ukweli. Watanzania kwanini hampendi kulipa kodi?
 
tatizo wabunge hawajitambui , kazi kupokea hela zisizokatwa kodi , matatizo kama haya hawayajui , tutamlaumu Dkt. mwigulu bure , sasa solution ni hii hapa , wewe mtanzania kamata libunge lako popote lilipo liulize umefanya nini bungeni ? akishindwa kukujibu wewe ambaye ndie bosi piga mtama....
Una mandate gani ya kumhoji mtu ambaye hukumpa hiyo nafasi?

Kama unataka kuwa na nguvu ya kumhoji mbunge, pigania KATIBA MPYA. Hawa wote wa safari hii ni wateule wamarehemu na mahela.
 
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!
Wapandishe tena hata mara kumi ya hiyo waliyoweka ili akili zitukae sawa
 
Back
Top Bottom